Ukweli kuhusu Mradi wa NSSF wa Dege Beach Kigamboni

Kipande kipi kwenye maelezo hapo juu hujaelewa?
1.Ule sio ubia ule ni ni wizi wa mchana kweupe
2.The so called mbia anavuna 55% ownership anawekeza eka mmoja tu yenye hati,pesa zero.
3.Alipotakiwa na new NSSF Management alete 35% kama finance capital yake,badala yake akamwaga wanasheria wasiopungua saba.
4.Tapeli huyo alitaka NSSF impe pesa harafu mbia Tapeli uwe ndio mchango wake !!!!Na huku nyuma yasemekana akichota pesa NSSF bila maelezo.
5.Bora kunyamaza kuliko kukoleza moto,kesi yenyewe ni wazi ni hujumu uchumi haina mdhamana.
 
Sasa waandishi wenyewe wa magazeti ya DIRA kina Mzito Kabwela unategemea wataandika nini zaidi ya porojo za kununua Club ya Newcastle ya England.
Dah mkuu siku hizi huchangii humu Na hii I'd yako unadhani unatukomoa? Yani toka muanze kuzibiwa mianya ya kukwepa kulipa Kodi Na maujanja ya kifasadi umezira mazimas
 
ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HILI SHIRIKA SI NDIE MMILIKI WA KLABU YA MAGPIE (NEWCASTLE UTD) PALE UNGEREZA?
ATUUNGIE VIJANA WETU WAKASAKATE KABUMBU KULE LIGI KUBWA NA TAJIRI DUNIANI TUKUZE SOKA LETU NA UCHUMI PIA.
 
Kajitahidi kujenga hoja kujustfy wizi wa hela za nssf.
Walichokifanya ni kutengeza mazingira ya mpaka mwisho wa hayo majengo,
Yaani mtu kwenye kutoa ardhi bure then gafla tu anageuka kuwa mmiliki.
Kama ulivyosema kwa uwezo ambao nssf anao hawakuhitaji huyo tajiri uchwara.
 
Mkuu lete kipande ambacho hujakielewa

Bei elekezi ya serikali kwa square meter Kigamboni currently ni shilling ngapi? tuanzie hapo kwanza ndio tutakamata mwizi.

Hii mifuko ya hifadhi ya jamii si ya kutetewa, nakamilisha ushahidi mzito wa ufisadi wa mradi wa nyumba za Pspf Chanika buyuni nitakaomkabidhi Mheshimiwa Rais na Takukuru. Ni wakati wa Watanzania sasa kushiriki kwa vitendo vita dhidi ya ufisadi.

Nyinyi endeleeni kutetea wahujumu uchumi humu.
 

CAG kakagua hajakuta kitu

KAMATI YA BUNGE IMECHUNGUZA haijakuta kitu

BOsi mpya wa NSSF anasema kipo kitu

kaambiwa lete evidence hana

yale yalee ya watu wasiojulikana
 
Umesoma kweli maelezo ya awali?
 

Bwtn the lines una interest ni vizuri uka declare hiyo kwanza!
Kwa kuendelea na hoja uliyoleta bado inaacha maswali.

a. Ardhi ya ukubwa gani na dhamani yake kiasi gani by then???
b.ukijibu a
c. 35% ya huo mradi Azimio walitoa???
d. Mradi jumla ya gharama zake kiasi gani ilitudadavue hizo % za NSSF na Azimio!
 
WEWE KAMA TAYARI UMESHAFUKUZWA KATA RUFAA TU. NSSF KUNA MADUDU NA MIMI NAFIKIRI WALE WATU WALIPASWA HATA KUNYONGWA
 
Utaenda kueleza hayo Mahakama ya Mafisadi
 
Waandishi wenyewe ndio hawa hawa ambao hawana uhuru wa kuhoji wao husikiliza tu mpaka watakaposikia neno Asanteni kwa kuja wanabeba vilivyo vyao na kusepa (lazima tu wamezeshwe uongo na kuna yule jamaa wa juu kabisa kawazoea anawamezesha balaa)
 
Semvulachole shemeji yake Dau...hahahahahah.......kaka upo?

Nimekumbuka mada moto moto kipindi hicho cha akina FMES, Mkandara, Mwanakijiji (kabla ya kuokoka) na wengineo!

Amani ya bwana iwe nawe Mkuu popote ulipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…