Jibu tosha.Hizo projects ulizotaja UVCCM, Rita, PPF, Benjamin tower ukiangalia utaona kuwa maeneo hayo yapo strategic na kutokana na location yake mwekezaji anakuwa hana option zaidi ya kukubaliana na mwenye ardhi. Unaweza ukaona kwa sasa Kariakoo wachaga na wakinga wanachukua ardhi na kujenga magorofa kisha jengo linakuwa jointly owned.
Pia taasisi za umma zikiingia mikataba zenyewe kwa zenyewe hata kama mmoja anagain zaidi hamna tatizo cuz zote ni public money na ni sawa na kuhamishia fedha zako toka mfuko huu na kupeleka kwenye mfuko mwingine.
Najiuliza bado kwanini NSSF hawakununua ardhi Kigamboni kisha waiendeleze wenyewe wakati maeneo kigamboni yapo wazi mengi tu? Kwanini waingie ubia na kampuni binafsi tena yeye ndio awe main shareholder? Mpaka hapo project ilipofikia, Azimio wameshatoa cash kiasi gani?
Hiyo Azimio ni ya nani? Who are the shareholders?
akajipange upya
Nisisitize tu...
kwamba AZIMIO alitakiwa kuchangia 35% ya gharama za mradi lakini kuna tetesi kuwa mpaka hapo mradi ulipofika hajachangia CHOCHOTE. lkn bado unaambiwa atamiliki 55% ya mrafi wote