Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Kuna mambo umekalili we kijana.Makamuzi ni given kwani ni starehe kwa mwanaume huku mwanamke akitegemea apate financial support of any kind. Vinginevyo akiona hakuna dalili anatoka nduki
Yaani jukumu la kuhudumia wazazi wake ni la mume?Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake.
Kuna wenzako watakuwa wanakusaidiaYaani jukumu la kuhudumia wazazi wake ni la mume?
Ww utakuwa umerogwa!!
Labda katika jamii yenu mambo hayo ndio yanapelekwa hvyo.
Waache wafanye mambo yasiyowahusu!Kuna wenzako watakuwa wanakusaidia
Kusema kweli sababu hizo ndo zinasababisha ndoa nyingi kuvunjika.Mume anaoa ili atimiziwe haja za ngono na huduma nyingine za msingi za nyumbani ikiwemo kupikiwa chakula, kufuliwa nguo, kutandikiwa kitanda.
Mke anaolewa sababu ya kutafuta usalama wake na kuhudumiwa kwa mahitaji yake yote wakiwemo wazazi wake.
Kama haupo tayari USIOE wala KUOLEWA. Endelea kudanga