Ukweli kuhusu Mwanaume kufunga kizazi.

Ukweli kuhusu Mwanaume kufunga kizazi.

Lububi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2013
Posts
2,158
Reaction score
3,808
Naombaa jibu toka kwa Dr halisi na si mwanahisia au mshawishi. Je mwanaume akifunga kizazi ni jumla au anaweza kufungua? Je inaathiri nguvu za kiume? Je ni opereshen kubwa? Je kuna aina ngap za kufunga na ubora wa kila moja!
 
Unatafta nini?tuanzie hapo kwanza or it's just curiosity..!
 
Kweli duniani lazima tutofautiane wengime wanatafuta dawa za kuongeza kuvu za kiume. wengine wapo busy kutafuta njia za kufunga kizazi cha kiume.
 
Kweli duniani lazima tutofautiane wengime wanatafuta dawa za kuongeza kuvu za kiume. wengine wapo busy kutafuta njia za kufunga kizazi cha kiume.

life isnt fair bro, wakati wengine ni wagumba wanahangaika kupata watoto huku wengine wanahangaika jinsi ya kufunga kizazi aisee
 
Back
Top Bottom