Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

Zari anapiga pesa kwenye show kwa mgongo wa diamond, pia umaarufu wake umeongezeka maradufu baada ya kuwa na diamond, kwa mfanyabiashara anayejielewa kama zari kwake diamond ni mtaji mkubwa sana
 
Hii ndoa mie siwezi ku-conclude kwamba kweli imefungwa na kama wakiamua kufunga, wala hawatakuwa na sababu ya kufunga ndoa ya Kikristo wala ya kiserikali! Hata hivyo, kama watafunga, Zari anaweza kuwa mjanja na kutaka ndoa ya serikali kuliko ya Kiislamu hususani kama anafahamu kwamba kwenye ndoa za Kiislamu, mgawanyo wa mali unategemea mwana-ndoa una % ngapi kwenye mali husika... hakuna yale mambo ya huyu anavunja mawe usiku kucha, mkiachana mnagawana sawa kwa sawa simply because wakati mwanaume anavunja mawe, mwanamke alibaki nyumbani anapika!!!
 
Hata hivo zile picha kutoka kwa mzee wa kiki na caption eti sometimes usiri ni kitu kizuri mie nliona chenga.Nlifikiri ni photoshoot ya magazine, ila kuna mmbea wangu mmoja firstclass ndio akaniambia ni promo ya 1 may.
 
Kingine kinachomponza wema ni kujirahisisha kwa mashabiki na waandishi wa habari, yeye kutwa anaongea na akina shakoor jongo wa global publisher, zari toka aje bongo hanaga na hataki kabisa mazoea na waandishi wa habar, wenyewe wanajua zari anachowafanyia wakimpigia simu, zari ni hadimu mno kuonekana live, wengi tunaishia kumuona kwenye mitandao, akienda sehemu zenye watu wengi anajificha hapendi kuonekana ovyo, ndivyo staa anavyotakiwa kuwa, kila mtu anakua na hamu ya kukuona. SIjawahi kusikia waandishi wa habar wa Tz kuongea au kumuuliza maswali ya kipuuzi zari, yule hatakagi mazoea ya kijinga, anajielewa mno
 
Nasikia wema alikuwa analia alivyosikia ndomo kaoa, alichanganyikiwaje akawa anapiga simu kwa watu ovyo, mama ubaya anatia huruma nyie

Likizo imekua ndefu sanaaa
 
Wala marafiki wa kijinga hana ye anapenda kua na diamond full time,marafiki mara moja moja ndio maana diamond katuliaa
 
Zari anapiga pesa kwenye show kwa mgongo wa diamond, pia umaarufu wake umeongezeka maradufu baada ya kuwa na diamond, kwa mfanyabiashara anayejielewa kama zari kwake diamond ni mtaji mkubwa sana
Lakini kwenye huu uhusiano, hata Diamond akiwa mjanja nae anaweza kunufaika! Mathalani, leo hii Diamond soko lake Uganda limepanda sana kuliko ilivyokuwa kabla ya kuwa na Zari... unajua soko la muziki la Uganda ni gumu sana kupenya ndio maana miaka nenda rudi, wanao-hit Uganda ni Waganda wenyewe and no body else specially from East Africa! Leo hii Diamond akiamua kupiga show Uganda, atajaza maradufu zaidi ya ile ambayo kama angepiga show kabla ya uhusiano wake na Zari na ndio maana hata sasa, Diamond amekuwa mdomoni mwa media za udaku Uganda pengine kuliko msaanii yeyote kutoka Tanzania na Kenya! Kwahiyo, this's the opportunity for all ambayo ina-act kama Struggle in the Jungle... survival for the fitness... atakayekuwa mjanja zaidi ndie ata-make zaidi! Na endapo utaniuliza mimi, Diamond ndie mwenye nafasi ya ku-make zaidi kuliko Zari coz' show za Zari ni za msimu wakati muziki unaweza kupiga show hata mwezi mzima mfululizo, unahama viwanja tu!
 
Hata hivo zile picha kutoka kwa mzee wa kiki na caption eti sometimes usiri ni kitu kizuri mie nliona chenga.Nlifikiri ni photoshoot ya magazine, ila kuna mmbea wangu mmoja firstclass ndio akaniambia ni promo ya 1 may.

Mbea yupi jamani niombe urafiki? Maana mie rafiki zangu wote wambea hatari, mtaa mzima wanatuogopa, warumi akipita lazima wajifiche, chezeya rais wa wambea anapita lazima ukimbie
 
Umeongea point sana.kwa jinsi anavyojiweka zari hana tofauti na mastaa wa ulaya na USA.hadimu kuonekana
 
You're very right... Wema alijirahisisha mno, si tu kwa media bali hata kwa jamii! Wema ilikuwa akiingia mahali lazima mtafahamu tu kwamba Wema ameingia! In short, hajui kabisa kuishi kistaa...
 
Wala marafiki wa kijinga hana ye anapenda kua na diamond full time,marafiki mara moja moja ndio maana diamond katuliaa

Zari anatakaga umbea yule, yeye mama ubaya kwa umbea ndo mwenyewe ndio maana kutwa yeye na mashost, zari yuko busy na bby wake ,ivi sintah bado wapo na zari? Sintah nae alimpatia wapi zari khaa yule andunje nae ana mambo
 
Wala marafiki wa kijinga hana ye anapenda kua na diamond full time,marafiki mara moja moja ndio maana diamond katuliaa

Zari anatakaga umbea yule?, yeye mama ubaya kwa umbea ndo mwenyewe ndio maana kutwa yeye na mashost, zari yuko busy na bby wake ,ivi sintah bado wapo na zari? Sintah nae alimpatia wapi zari khaa yule andunje nae ana mambo
 
Hata hivo zile picha kutoka kwa mzee wa kiki na caption eti sometimes usiri ni kitu kizuri mie nliona chenga.Nlifikiri ni photoshoot ya magazine, ila kuna mmbea wangu mmoja firstclass ndio akaniambia ni promo ya 1 may.
Hili la Mei Mosi waliofichua ni Bongo5 siku ile ile ya kwanza! Hata hivyo, hawaku-conclude kwa 100% bali walichambua upigaji wa picha ulivyofanyika na finally wakaamini inawezekana ni changa la macho but specifically kwa ajili ya hiyo show ya Zari.
 
Zari anatakaga umbea yule, yeye mama ubaya kwa umbea ndo mwenyewe ndio maana kutwa yeye na mashost, zari yuko busy na bby wake ,ivi sintah bado wapo na zari? Sintah nae alimpatia wapi zari khaa yule andunje nae ana mambo
Nahisi umbeya kwa Kiingereza haunogi, kwa Kiswahili sasa, acha bwana!
 
Zari anatakaga umbea yule?, yeye mama ubaya kwa umbea ndo mwenyewe ndio maana kutwa yeye na mashost, zari yuko busy na bby wake ,ivi sintah bado wapo na zari? Sintah nae alimpatia wapi zari khaa yule andunje nae ana mambo

Kwanza zari angekua mwingine angeshatukanana mnooo aisee lakin yupo kimya akitoa bango ni la kisomi linayumbisha melii,sinta labda walipatiana Ugand au ,hlf zari alisema wanagawana na ivan 50/50 kwenye masual y pesaa
 
You're very right... Wema alijirahisisha mno, si tu kwa media bali hata kwa jamii! Wema ilikuwa akiingia mahali lazima mtafahamu tu kwamba Wema ameingia! In short, hajui kabisa kuishi kistaa...

Zari yupo ki staa zaidi na ndio maana couple yao imekubalika na wengi sana apa bongo, tofauti na matarajio ya watu, kwanza mtu unaanzaje kumponda zari? Mtoto mkali, ana mkwanja mrefu, anajua kuvaa na kuishi ki star, unaanzaje kumkataa au kumponda? Wema anachanganyikiwa kwa kuwa hakutegemea wabongo wangeipokea vizur couple ya ndomo na zari, hiko kinamchanganya pia... wabongo tunataka watoto wakali bwana na wanaojielewa
 
AHahahahhahaahhhah, khaa umbea huu ata mswaki sijapiga apa, lisura limenivimba hatar, ukiniona utakimbia, ivi hamna dawa za kupunguza virus vya umbea mwilin? Naona mie virus vinazidi kuzaliana mwilin, yani ni shidaaaa

Mi bado nimelala mvua imenyesh kubwa basi ndio nalala kabisaaaa,nawe usinitishe sura lako sipati picha lilivyo bayaaaaa ungepew km y Nuhu tungekufwaa,ivi bin ulifikiaga wapi kuhusu kuwek picha humu 😆😆😆😆😆😆😆😆😆
 
Binam habari za asubuhii huku SA mvua kubwaa inanyeshaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…