warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #21
For the time being, sioni atapiga vipi labda kama kweli kuna ndoa basi ndoa hiyo idumu kwa muda mrefu! Alipiga za kutosha toka kwa Ivan kwa sababu aliishi na Ivan kwa muda mrefu na ingawaje tangu hapo Ivan alikuwa na hela lakini ali-make zaidi alipokuwa na Zari na hivyo kuonekana kwamba utajiri wao ni kama umetafutwa na wote!
Lakini kwa hapa tulipo kuhusu Zari na Diamond, unless kama nilivyosema waende mbali zaidi, lakini kwa sasa Zari kila kitu amekikuta. Hata leo Zari akijifungua na kuthibitika kwamba mtoto ni wa Diamond kisha wakaachana, bado Zari hawezi kupata kitu... labda aombee Diamond afe, kisha Zari ale vya Diamond kupitia urithi wa mtoto! Wakiachana wakati ndoa haijafika mbali, sana sana atakachoambua ni pesa za matunzo ya mtoto! Mbaya zaidi, unless iwe vinginevyo, kwenye Uislamu hakuna "cha mali hii tumechuma wote" bila kuonesha tangible contribution kwenye mali husika unless kama ni suala la kurithi na sio ugawanaji baada ya ndoa kuvunjika!
Zari anapiga pesa kwenye show kwa mgongo wa diamond, pia umaarufu wake umeongezeka maradufu baada ya kuwa na diamond, kwa mfanyabiashara anayejielewa kama zari kwake diamond ni mtaji mkubwa sana