Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

Hhhhaaaaa sie tunagombanaga humo humo tu hapewi likizo mtu

Wema alitest kujamba wakati hanaharisha, amejayataka mwenyewe na mashosti zake wanaompoteza.

Ukishanilisha limbwata wewe koleza mahaba siyo unataka kulijaribu kama limenikolea yani nikufumanie unaliwa mbunye halafu samahani nikuombe mimi hivi kuna raha gani hapo?

Mwanaume inapaswa akupende sana kwa dhati lakini asiwe falla kwako hata wanawake wenzio watakucheka.
 
Nasikia wema alikuwa analia alivyosikia ndomo kaoa, alichanganyikiwaje akawa anapiga simu kwa watu ovyo, mama ubaya anatia huruma nyie

kulia lazima best
chezea kunjunjuliwa kila daily halafu ht mimba hakuna...!!




huo ndo ukweli wenyewe
wemw sasa hv kashafunikwa japo dogimasta anajitahidi kweli kumpaisha lakini wappppiiiiiii....!!!


hahahaaaaaaaa wenyewe walikuwa kutwa mara tatu
dozi full kunjunjuana
 
Last edited by a moderator:
kulia lazima best
chezea kunjunjuliwa kila daily halafu ht mimba hakuna...!!





huo ndo ukweli wenyewe
wemw sasa hv kashafunikwa japo dogimasta anajitahidi kweli kumpaisha lakini wappppiiiiiii....!!!

Dogie masta wakumuonea huruma tu, we unamuona mzima yule? ANamsifia wema kwa vitu ambavyo havipo
 

Zari na ndomo wote hawana vizazi, maana kama kugongana tu ata mbingu na ardhi wamenyanyua mikono ila mtoto hamna
 
Zari anatakaga umbea yule, yeye mama ubaya kwa umbea ndo mwenyewe ndio maana kutwa yeye na mashost, zari yuko busy na bby wake ,ivi sintah bado wapo na zari? Sintah nae alimpatia wapi zari khaa yule andunje nae ana mambo

Ugandaaa! Kipindi kile anasoma.Mie mwenyewe Zari nimemjulia kwa Sintah.Alikua anapenda sana kumrusha.
 

Mhuuuuuuu!
😀😀😀😀😀😛
 
Zari anatakaga umbea yule?, yeye mama ubaya kwa umbea ndo mwenyewe ndio maana kutwa yeye na mashost, zari yuko busy na bby wake ,ivi sintah bado wapo na zari? Sintah nae alimpatia wapi zari khaa yule andunje nae ana mambo

ug alikokua anasoma
ushost upo si alienda white house kumuona kimimba
 
BInadamu tumeumbwa na dhambi ya asili, sio kila kitu wanachokifanya binadamu wewe utapenda ata kama hakikuhusu, ndivyo tulivyo binadamu ulimwenguni kote

mungu hakuumbi na chuki binafsi isipokuwa unaipandikiza
 
Kwenye para za mwisho kumbe ni ndoto kupata mahakama ya kadhi nadhani hata wanawake wa kiislamu wanaofatilia vizuri haya mambo hawaitaki hii mahakama ya kadhi, kuna kitu nimeanza kukielewa.
Lakini hiyo Mahakama ya Kadhi si kwavile tu unaitwa Mohammed na ili ex wako asipate kitu ndo basi tena unaamua kukimbilia mahakama ya kadhi... no one will listen you! Na si kwavile tu unaitwa Ismail na baba yenu amekufa na ili mtoto wa nje ya ndoa asipate kitu unaamua kukimbilia mahakama ya kadhi wakati maisha yako yote wala ya marehemu hamkuwahi kuishi kama Uislam unavyotaka, no one will listen you...! But, on the other hand, kwa upande mwingine hata kwa hao wanawake inawasaidia vile vile... assume umefunga ndoa ya kiislamu leo, hujaona hata pichu ya mkeo na kwa bahati mbaya mume anafariki... huyo mwanamke ana haki zote za kurithi hata kama hawakuahi kukutana hata mara moja! Aidha, ktk dunia ya leo ambayo hata wanawake wanatafuta pesa, kwa maana nyingine mwanaume ukijiweka kwa mwanamke mwenye pesa kwa matarajio siku mkitengana utapata chako, fahamu utaondoka na begi lako... tena afadhal kwa mwanamke ambae, utaratibu unamtaka mwanaume ampe mwanamke kitu mithili ya kiiunua mgongo hata kama hajachangia hata senti tano... lakini wewe mwanaume, hakuna cha kiinua mgongo wala nini! Lengo la hii ni kuwakomesha watu wanaojiweka kwa wenye mali halafu baadae wanaleta matata ka kutarajia wagawane mali...
 
Ndio mjifunze mkituroga na malimbwata yenu ya kumani msidhani hayana expire date, Wema amemuonea sana Diamond malipo ni hapa hapa.
Ile sijui 2011 sijui lini walipoachana nilimsikia Diamond wakati anahojiwa kuhusu uhusiano wao! Yaani jamaa wakati anaongea alikuwa anatia huruma ile mbaya na kuwashangaa watu wanavyoona yeye kama ndie mbaya huku mwenyewe akidai amevumilia mengi sana!
 
Binamu mm wote nawaona wote ma prostitute tu lkn mmoja ni proffesional prostitute mwingine yy ni Local hapo chachaa
 
Ndio mjifunze mkituroga na malimbwata yenu ya kumani msidhani hayana expire date, Wema amemuonea sana Diamond malipo ni hapa hapa.

upo team kiba,kwa Mara ya kwanza nimekuona ukiandika ukiwa fair
 

Ilikuwa ni Sporah show Uk, sikuwa naujuwa ukweli upande wa pili wa shilling roho iliniuma sana niliposikia maelezo ya Diamond, mtu anakupenda ni super star na bado Wema anaenda kutombesha kwa mabwana wengine na yule dogo kwakuwa kazidiwa umri na Wema hakuwa na sauti ndani.

Hili ni fundisho kwa wanawake wote mwanaume anapokupenda kwa moyo mmoja usitake advantage ya kumnyanyasa ipo siku atakutana na mwanamke anayejuwa thamani ya mwanaume hapo u will kiss the wind.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…