Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hhhhaaaaa sie tunagombanaga humo humo tu hapewi likizo mtu
Wema alitest kujamba wakati hanaharisha, amejayataka mwenyewe na mashosti zake wanaompoteza.
Ukishanilisha limbwata wewe koleza mahaba siyo unataka kulijaribu kama limenikolea yani nikufumanie unaliwa mbunye halafu samahani nikuombe mimi hivi kuna raha gani hapo?
Mwanaume inapaswa akupende sana kwa dhati lakini asiwe falla kwako hata wanawake wenzio watakucheka.