Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hao wengine wote Diamond alikuwa anapita tu na sidhani kama yupo ambae alidumu nae kwa angalau mwaka... labda Penny lakini Wema, duh! Na ile style ya Diamond ya kutotaka kutoka na kushinda home tu, yaani watakuwa wamechakazana sana huku nikijitahidi ku-maintain heshima ya Wema coz' neno sahii hapo sio kuchakazana, bali...... atakuja kumalizia Heaven on Earth!
Tatizo ni #Bring Back Our Wema!Wema si ndie aliemuacha diamond kwa mbwembwe
Wema anaweweseka tu sasa ivi, mara ajifanye anatoka na van vicker, mara ommy dimpoz mara idris wa BBA, yote hiyo kutafuta mwanaume wa kumrusha roho diamond, bahati mbaya wote wanasubir kwa ndomo, labda angebahatika kuwa na van vicker ndo kidogo ata ndomo angetikisika
Diamond ajawai milik mtoto wa miaka (?) madem wake wote wamemzid umri.
Warumi we kichwa sana aseeeeWema kinachomsumbua ni kupenda wanaume maarufu tu, apo kinachomsumbua ni kushuka kwa jina lake tu na kukosa mvuto kwenye jamii, ki ukweli sasa ivi wema hayupo kwenye line ya wema yule tunayemjua, zari ka take over everything, kama kungekuwa na mwanaume maarufu kumzidi diamond, basi wema angejiweka apo, ndicho kinachomuuma, sio kwamba ana mapenzi ya dhati na diamond ila umaarufu wake ndo unamchanganya
wabongo kwakusemea moyo na uchonganoshi shikamooni. wema hajaongea chochote lakini wapambe povuu hadi kichwan dai kuoa ni uamuzi wake but kuanza kutengeneza chuki tuache
Wema hataenda kwenye hiyo party
nusu ya movie yote ishaekwa insta ha ha ha hata mzuka wa kuitaka haupohivi ile movie yake na van vicker imeshatoka?
ha ha ha ha limbwata la....we naeNdio mjifunze mkituroga na malimbwata yenu ya kumani msidhani hayana expire date, Wema amemuonea sana Diamond malipo ni hapa hapa.
hivi dem wako anajua kama we ni mbea first class.Mbea yupi jamani niombe urafiki? Maana mie rafiki zangu wote wambea hatari, mtaa mzima wanatuogopa, warumi akipita lazima wajifiche, chezeya rais wa wambea anapita lazima ukimbie
nikimjua nakuchonganisha aje akusute na kikundi huku wamevaa madira sareAHhahah haha, no way, ata siku moja, sipo hivyo najielewa wewe, hahaha hahaha
mambo matam mixer umbea ha ha haUbavu huo hana, kafa kaoza apa, maana nampa mambo matamu hatari, aaaaah aaaah