Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

Hao wengine wote Diamond alikuwa anapita tu na sidhani kama yupo ambae alidumu nae kwa angalau mwaka... labda Penny lakini Wema, duh! Na ile style ya Diamond ya kutotaka kutoka na kushinda home tu, yaani watakuwa wamechakazana sana huku nikijitahidi ku-maintain heshima ya Wema coz' neno sahii hapo sio kuchakazana, bali...... atakuja kumalizia Heaven on Earth!

Mpwa nakuja kumalizia.......ngoja niianze kuisoma thread toka mwanzo
 
Wema anaweweseka tu sasa ivi, mara ajifanye anatoka na van vicker, mara ommy dimpoz mara idris wa BBA, yote hiyo kutafuta mwanaume wa kumrusha roho diamond, bahati mbaya wote wanasubir kwa ndomo, labda angebahatika kuwa na van vicker ndo kidogo ata ndomo angetikisika

hivi ile movie yake na van vicker imeshatoka?
 
wabongo kwakusemea moyo na uchonganoshi shikamooni. wema hajaongea chochote lakini wapambe povuu hadi kichwan dai kuoa ni uamuzi wake but kuanza kutengeneza chuki tuache
 
Wema kinachomsumbua ni kupenda wanaume maarufu tu, apo kinachomsumbua ni kushuka kwa jina lake tu na kukosa mvuto kwenye jamii, ki ukweli sasa ivi wema hayupo kwenye line ya wema yule tunayemjua, zari ka take over everything, kama kungekuwa na mwanaume maarufu kumzidi diamond, basi wema angejiweka apo, ndicho kinachomuuma, sio kwamba ana mapenzi ya dhati na diamond ila umaarufu wake ndo unamchanganya
Warumi we kichwa sana aseeee
 
wabongo kwakusemea moyo na uchonganoshi shikamooni. wema hajaongea chochote lakini wapambe povuu hadi kichwan dai kuoa ni uamuzi wake but kuanza kutengeneza chuki tuache

Anaumiaje uko alipo? Pole zake masikini, aje nimpeleke kwa mganga asiyeshindwa kitu, rommy jones kampotosha mwenzie, dawa zimeisha anahangaika masikini
 
Mbea yupi jamani niombe urafiki? Maana mie rafiki zangu wote wambea hatari, mtaa mzima wanatuogopa, warumi akipita lazima wajifiche, chezeya rais wa wambea anapita lazima ukimbie
hivi dem wako anajua kama we ni mbea first class.
 
mambo matam mixer umbea ha ha ha

AAaaaaahhaa aaaaah, chizi wewee, halaf huwez amini mimi sio muongeaji yani, nina aibu hatar, apa si sionekani ndio maana fujo nyingi, ila kuongea duh mpaka nikuzee nina aibu hatar, aaaaahaaa
 
Back
Top Bottom