mke wa mkuu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 634
- 277
Hii ndoa mie siwezi ku-conclude kwamba kweli imefungwa na kama wakiamua kufunga, wala hawatakuwa na sababu ya kufunga ndoa ya Kikristo wala ya kiserikali! Hata hivyo, kama watafunga, Zari anaweza kuwa mjanja na kutaka ndoa ya serikali kuliko ya Kiislamu hususani kama anafahamu kwamba kwenye ndoa za Kiislamu, mgawanyo wa mali unategemea mwana-ndoa una % ngapi kwenye mali husika... hakuna yale mambo ya huyu anavunja mawe usiku kucha, mkiachana mnagawana sawa kwa sawa simply because wakati mwanaume anavunja mawe, mwanamke alibaki nyumbani anapika!!!
Zari alibadili dini akawa mkristo sasa hapo ndoa ikifungwa labda ya kiserikali alibadili dini ili aolewe na ivan ila jamaa akakwepa akatoa ngombe kimila baada ya kuona kamzalisha ila hakupata ndoa labda hapa kwa mwanae wa kwanza wafunge wilayani