Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

Hii ndoa mie siwezi ku-conclude kwamba kweli imefungwa na kama wakiamua kufunga, wala hawatakuwa na sababu ya kufunga ndoa ya Kikristo wala ya kiserikali! Hata hivyo, kama watafunga, Zari anaweza kuwa mjanja na kutaka ndoa ya serikali kuliko ya Kiislamu hususani kama anafahamu kwamba kwenye ndoa za Kiislamu, mgawanyo wa mali unategemea mwana-ndoa una % ngapi kwenye mali husika... hakuna yale mambo ya huyu anavunja mawe usiku kucha, mkiachana mnagawana sawa kwa sawa simply because wakati mwanaume anavunja mawe, mwanamke alibaki nyumbani anapika!!!

Zari alibadili dini akawa mkristo sasa hapo ndoa ikifungwa labda ya kiserikali alibadili dini ili aolewe na ivan ila jamaa akakwepa akatoa ngombe kimila baada ya kuona kamzalisha ila hakupata ndoa labda hapa kwa mwanae wa kwanza wafunge wilayani
 
AAaaaaahhaa aaaaah, chizi wewee, halaf huwez amini mimi sio muongeaji yani, nina aibu hatar, apa si sionekani ndio maana fujo nyingi, ila kuongea duh mpaka nikuzee nina aibu hatar, aaaaahaaa
Mme awe mmbea mke awe mmbea watoto watakua vichaa...
 
Zari alibadili dini akawa mkristo sasa hapo ndoa ikifungwa labda ya kiserikali alibadili dini ili aolewe na ivan ila jamaa akakwepa akatoa ngombe kimila baada ya kuona kamzalisha ila hakupata ndoa labda hapa kwa mwanae wa kwanza wafunge wilayani
I know it but uzoefu unaonesha kwamba, ingawaje sio mara zote lakini mara nyingi wanawake wanaobadili dini kwa ajili ya kuolewa, dini mpya inadumu kipindi cha ndoa na ndoa ikivunjika wengi wao dini mpya inaenda na taraka yake... kunakuwa na uwezekano wa kudumu nayo endapo baada ya kuvunjika kwa ndoa hiyo atakutana na mwanaume mwenye dini ile ile yake mpya lakini ikitokea akakutana na mwanaume mwenye dini yake ya zamani, basi uwezekano wa kubaki na dini yake mpya unakuwa mdogo sana coz' ambacho kilimbadilisha dini hakikuwa sababu za kiroho per se!
 
Ila wema kwenye movie mmh!! Bora aendelee na ustaa wa insta, bora kidogo enz za kanumba alikua anaonekana
labda angejaribu na kuimba make ana sauti nzuri ila aanzie Bongo Star Search
 
Back
Top Bottom