Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

Ukweli kuhusu 'Ndoa' ya Zari na Diamond

upo team kiba,kwa Mara ya kwanza nimekuona ukiandika ukiwa fair

Maandishi tunayoandika humu yatabaki kuwa material kwa vizazi vijavyo, mambo ya kutesana kwenye mapenzi siyo, Diamond ana pesa ana mafanikio ana yote muhimu kimaisha, kwa nini akose amani ya moyo kwa ajili ya kahaba mmoja tu wa Sinza?

Wanawake wanaturoga sana mpaka inapitiliza take it or leave it.

Tatizo kubwa linalowagharimu mastaa mpaka kuangukia kwa makahaba waliokosa malezi kama Wema, ni kwamba hawana muda wa kujichanganya na jamii na kukutana na watoto bomba waliozaliwa familia bora na wenye maadili.

Mimi ningekuwa karibu na hawa vijana ningewashauri weekend zao wawe wanaspend sehemu kama Masaki golf course, unacheza golf na watoto wa kina Kimei, Beno Ndulu and likes hayo ndio maisha alikuwa anapaswa kuwa nayo huyu kijana wetu facility zote anazo.
 
Mtoto wa kimei anajulaje bata mjini, ila uzuri hajisikii
 
Wema kinachomsumbua ni kupenda wanaume maarufu tu, apo kinachomsumbua ni kushuka kwa jina lake tu na kukosa mvuto kwenye jamii, ki ukweli sasa ivi wema hayupo kwenye line ya wema yule tunayemjua, zari ka take over everything, kama kungekuwa na mwanaume maarufu kumzidi diamond, basi wema angejiweka apo, ndicho kinachomuuma, sio kwamba ana mapenzi ya dhati na diamond ila umaarufu wake ndo unamchanganya

Yani ukweli mtupu, mfano mdogo tu ni hili jukwaa, zamani kila ukiingia story ni Wema na Diamond, ILA kwasasa masikini daaah kila ukigusa Zari na Diamond, kuanzia huko kwenye magazeti ya udaku mpaka huku.

Kwa kifupi naona kama uyo mrembo Zari kwasasa kawa maarufu kumzidi Wema
 
don't love a bitch that is a first principle to all ma niggaz.
Zari is good and carring.
 
CIROC ALL WHITE PARTY ya mond Kiba tar 2 May anakuja na EFFENVODKA ya 50cent
 
Last edited by a moderator:
Yani ukweli mtupu, mfano mdogo tu ni hili jukwaa, zamani kila ukiingia story ni Wema na Diamond, ILA kwasasa masikini daaah kila ukigusa Zari na Diamond, kuanzia huko kwenye magazeti ya udaku mpaka huku.

Kwa kifupi naona kama uyo mrembo Zari kwasasa kawa maarufu kumzidi Wema

Wema anaweweseka tu sasa ivi, mara ajifanye anatoka na van vicker, mara ommy dimpoz mara idris wa BBA, yote hiyo kutafuta mwanaume wa kumrusha roho diamond, bahati mbaya wote wanasubir kwa ndomo, labda angebahatika kuwa na van vicker ndo kidogo ata ndomo angetikisika
 
Dinazarde i love you, ooh sh shhhh mmmh yeah!! Come on baby mwaah!! Yeah give me that baby ooh u are so cute like zari oooh shshshshs
 
Last edited by a moderator:
Sura kama hipsi za wema mfyuuuuuu

Aahahahahahahaha ahahahh nfyuuu eti sura kama zari uringe? Nyooo

Uko insta kuna mtu anakodisha wasutaji na wachambaji kama mtu kakusingizia uwongo au kakuibia mpenzi wako wanakodisha wachambaji, yani nimecheka binamu mbavu sina, umeona wenzetu wanavyojua kutumia fursa? Yule mtu kiboko nimemshindwaa
 
Nishaonaa binam sasa binam twende chemba halaf mbona hukunijibu yaan pamoja na kukupa umbea hukujibu tombanyoko
 
Nishaonaa binam sasa binam twende chemba halaf mbona hukunijibu yaan pamoja na kukupa umbea hukujibu tombanyoko

Tombanyokoko.... yani mimi nimekutumia msg kwa pm nikajisahau nikatuma uku
 
Wema si ndie aliemuacha diamond kwa mbwembwe

Wema akiumia kwa kweli siwezi kumlaumu... we kasuguliwa miaka yote hii halafu aachwe kwenye mitaa! Anyway, nadhani Diamond alikuwa anakwepa ndoa ya mapema na Wema kwa kuhofia mambo ya pasu kwa pasu pale ndoa itakapoenda hali jojo!
 
Je wajua diamond anazopata kwa kumtumia zari

Ni
kweli usemayo, ila huyu mwanamke mjanja sana atapiga sana pesa kwa kumtumia Diamond sasa taratibu naanza kuyaelewa malengo yake.
 
Mkuu tunamsubiri Katunzi ajitokeze

[FONT=t[B][/B]imes new roman]Kama wewe ni mmoja kati ya watu waliochukizwa au kuumizwa na taarifa kuhusu ndoa ya mastaa wawili wanao make headline kwa sasa, zarinah hassan aka zari pamoja na mpenzi wake diamond platnumz, taarifa ikufikie kuwa uvumi huo haukuwa kweli, diamond na zari "HAWAJAFUNGA NDOA"

Uvumi huo ulienea kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, mara baada ya mastaa hao kupiga picha wakiwa wamevaa mavazi ya harusi na kuzitundika kwenye mitandao ya kijamii.

Taarifa zinasema picha hizo zilipigwa mahsusi kwa ajili ya kuitangaza shoo kubwa ya super star kutoka uganda, ZARINAH HASSAN . Show hiyo inayotambulika kwa jina la CIROC ALL WHITE PARTY ambayo itafanyika kwenye ukumbi mkubwa pale MLIMANI CITY mei moja.

Zile picha walipiga kwa ajili ya kuitangaza show hiyo kubwa inayotabiriwa kuvunja record kwa kuhudhuriwa na mastaa pamoja na watu mbali mbali mashuhuli.
[/FONT]
 
Back
Top Bottom