Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lingekuwa jambo la busara kama na ww ungekuja na details zako ambazo ungezitumia kumcriticise huyu ndgu sio kumkosoa na kumlaumu huku ww binafsi hujaweka bayana misingi yako,wasilisha point yako ili tujue upande upi upo sahihimy brother,am sorry to say this to you.But,I think you dnt know anything kuhusu Kagame wala Museveni.
Usilete zile akili za kina " Membe" akiwaita malawi eti wenzetu?
Sisi watanzania nathani tuna kama mtindio wa akili vile.Muda mwingine namlaumu sana Mwl Nyerere kwa kutuzubaisha mno pamoja ni mtu ambaye nina heshima naye sana na kwa hilo naamini hakuwa na nia mbaya.
Ila nachoweza kusema akili zetu watanzania zimefungamana mno, labda tutupie lawama elimu na curriculums tulizonazo ambazo zinafinya uwezo wa kufikiria.
Nachoweza kukuambia ni kwamba usilete uchafu wako huku kama hujui unachokiongea. kama unaona kagame mjinga mwenzako ni mtu nenda ukaishi huko kwake.
nimesikitika sana kusoma upuuzi huu na nimepoteza muda wangu. please get a life!
huwa tunahesabu mabaya au mazuri ya mtu mkuu? fika mtizamo wako wajionyesha wahesabu mabaya tena mabaya yenyewe ni yale aliyoyafanya nje ya mipaka yetu na sio kwetu ya nini ushindwe kuthamini kwa yale mazuri aliyokufanyia?Mi nachojua Kagame ndo chanzo cha vita kule Congo kwa kuwaibia rasilimali zao na mwisho kuwaua.
Haimaanisha kuwa ni mzuri na tuendelee kumshabikia eti tu kisa alisaidia katika vita vya kumng'oa Iddi Amin.
aliongeaga david kafulila ktk bunge la ktk ujinga kuhusu NYERERE tangu siku hiyo namdharau sanaKuna kampeni ya kumchafua Nyerere kwa makusudi imeanzishwa muda mrefu tu na watu flani,Na hii inatokana na hasira za watu flani ambao walienguliwa katika kinyang'anyiro cha kugombea Urais kwa tiketi ya CCM mwaka 1995 ambapo Bw Mkapa alipewa mikoba ya kuiwakilisha CCM katika tiketi ya Urais.Hawa watu bado wana kinyongo na Nyerere na wanafanya kila wanaloweza kuifuta historia ya Nyerere katika vichwa vya Watanzania.Walichosahau katika mpango wao huo ni kwamba wao ni Wachafu na hawana Uzalendo hata kidogo Kwa Taifa hili.Kama wanadhani watafanikiwa katika mipango yao haramu ya kupuuza kila kitu Nyerere alikisimamia basi wanajidanganya sana.Ikifika mwaka 2015 tutawaonyesha hawa watu kwamba wafuasi wa Nyerere bado tupo wengi mno katika Nchi hii kwahiyo waendelee tu na mipango yao ovu.
Umeongea fact mkuu! Jamaa aliyeibua hoja huenda ni mnyarwanda!, na Tanzania tusipokaa Makini huenda tukaja kupata balaa!Habari wanaJF..!
Kwa muda sasa kumekuwa na mijadala mingi ikiilenga Rwanda, Paul Kagame na hususani kabila la Watutsi..!
Na hili suala limekolezwa zaidi na mch.Christopher Mtikilia ambaye ni mwanasiasa hodari hapa nchini Tanzania na pia ni
Mwenyekiti wa Chama cha DP.,kupitia waraka wake ambao mimi nauona ni wa kichochezi,uwongo,chuki na propaganda
Zisizokuwa za msingi ambao wenye malengo ya kupotosha ama kuleta uchochezi na mauji.
Najua kuna baadhi watapingana na mimi lakini kwa wale waliosoma historia watanielewa.
Nianze kwanza,..nini chanzo cha uhasama baina ya Wahutu na Watutsi..?
Kabla ya Ukoloni makabila haya mawili walishabihana na hata kuwa na lugha moja Kinyarwanda upande wa Rwanda
na Kirundi upande wa Burundi ingawa watutsi ndio walikuwa watawala kwakuwa walikuwa na utajiri mwingi wa ng'ombe maarufu "ankole" na hata pia tukiangalia hapa Tanzania Ufalme wa Karagwe ulikuwa na mchanganyiko wa Watutsi, Utawala wa Bachwezi na tawala mbali mbali kanda ya ziwa kulikuwa na mchangiko wa watutsi kabla ya ukoloni mwaka 1885..!
Wakoloni waliikiingi na Mkakati ulioitwa "Wagawanye na uwatawale".,na ulifanikiwa sana Kama nchini Nigeria baina ya Wakristo na Waislamu, Kenya baina ya wakikuyu na wajaluo,wakalenjin. ndio maana hata hapa Tanzania mikoa yenye wakristo wengi ilipata sana fursa ya elimu,miondombinu kuliko mikoa yenye waislamu wengi.
Tukija Rwanda huko zilianza taratibu za kuangalia pua,muonekano ambako waligawanywa kama Watutsi na Wahutu na hata kuvalishwa vibao.,ambako wale walioitwa watutsi walipewa fusra kubwa sana kwenye elimu na utawala na wakoloni ambao walikuwa wajerumani kisha wabeligiji..! mwanzo hawa watu walikuwa kama familia,ukoo na kabila moja paka kuweza kuwa na lugha moja na hata pia vinasaba vinaonyesha watutsi wana mchanganyiko na wenzao wahutu..!
Uhasama mkubwa uliibuka pale mwaka 1959,..ambako watutsi wengi walihamia Uganda,Congo na Hata Tanzania mpaka mwaka 1994 ambako yalitokea mauji ya kimbari na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 1,000,000. kwa kifupi hii ndo historia fupi ya watutsi unaweza ukapata habari nyingi zaidi ya hapa.
Tuje kwenye waraka wa Mchungaji Christopher Mtikila,..ambao hauna tofauti na waraka uliosambazwa mwaka 1994 na
kusababisha mauji ya kikatili, wanawake na watoto kubakwa, miondombinu ya uchumi kuharibiwa vibaya..,na mtu kama huyu mahali pake hapa duniani ni Jela tena kifungo cha Maisha na hata peponi ni Jehanamu. ni kitu kibaya sana kuona Binadamu anapenda kuona vifo au mvurugano wa nchi ambayo sasa hv ina amani wakirudi tena katika mapigano. Mchungaji Mtikila ametumia mifano mfu na ya uongo kutetea hoja zake.
1.Suala la wafugaji kuingia bonde la Burigi, hili ni tatizo la serikali yenyewe kutolinda mipaka yake kuanzia maafisa uhamiaji, na hata kuliibuka baadhi ya tuhuma wafugaji kuonga wenyeviti wa vijiji ili waweze kupitisha ngombe. na hili suala limekuwa sugu sana, mfano tukiangalia hata kwenye ziwa letu Victoria Wakenya na Waganda wanakuja kuvua kwenye maeneo yetu na hata mbunge wa Ukerewe Mh.Machemli alishawahi kuja kulalamika bungeni, na hata baharini tukikumbuka wale samaki wa Magufuli walikuja kuvua kwenye mwambao wetu wa Bahari., hili tatizo la wageni kuvamia Rasilimali zetu ni Tatizo la Serikali kushindwa kulinda mipaka yake dhidi ya wavamizi ndio tatizo la wafugaji wengi kutoka Rwanda na Hata Burundi kuvamia maeneo yetu ya hifadhi. ndio maana imekalia kimya waraka wa Mch.Mtikila
kwani kwenye maeneo ya mipaka kuna tatizo kubwa sana la Rushwa.. na ningependa nimdahamishe Mch.Mtikila wanaovamia Rasilimali zetu sio tu watutsi hata pia Wakenya na Waganda ziwa Victoria,Wachina Bahari ya Hindi ni muhimu Serikali kuzidisa ulinzi kwakuwa wana Polisi na Jeshi.
2.Suala la Kagame Kupendeza Wanyarwanda 35,000. hivi nchi yetu haina usalama wa Taifa, haina idara ya uhamiaji, haina idara ya intelejensia polisi. kumbuka kuna makabila ya wahaya,waangaza,muha na wanzinza ambao wamenyangika na watutsi hata kabla ya Ukoloni mwaka 1885. na kumbuka nchi yetu imetoka uraia kwa baadhi ya wakimbizi kutoka makambini ambao walikuwa wahanga wa vita. ndio maana nchi kama Canada,Norway na Sweden wametoa uraia sana kwa wasomali ambako kwa akili ya mch.Mtikila angemaanisha wale wametumwa na Al shabaab. Mch.Mtikila hujui maana ya vita.
3.Suala la ''Black Apartheid" na kufanisha watutsi na nyoka., hapa sitaki kuongea sana lakini Mzungu ama Mhindi atamcheka sana Mwafrika kama anambagua mwenzake kisa kabila,ama rangi au dini.,
4.Mwisho ni nikija kwa PAUL KAGAME, Historia yake inasemakana amwaka 1979 alihshiriki vita ya TANZANIA dhidi ya nduli IDD AMINI DADA chini ya YOWERI MUSEVENI akiwa upande wa Tanzania kisha kushirikiana na Museveni mwaka 1985 ambako alikuwa mkuu wa Intelejensia wa jeshi la Museveni, hadi kujiunga na jeshi la Uganda Museveni alipokuwa Rais na kupelekwa Grand Rapids Nchini marekani kwa mafunzo zaidi ya Kijeshi, ambako aliiwezesha jeshi lake la RPF kutumia mbinu mbadala kuliteka jiji la Kigali dhidi ya serikali ya kipindi hicho.., Mchungaji Mtikila una habari kwamba WATUTSI wengi ambao wewe unawaita NYOKA walishiriki kwenye vita ya Ukombozi wa Watanzania mwaka 1979 dhidi ya IDD AMINI akiwemo hayati mtutsi FRED RWIGEYMA na hata baadhi ya Kufa kwaajili ya Taifa letu wakati wewe ukiwa kwenye handaki umejificha. mwenzio PAUL KAGAME alizaliwa ndugu zake wakichinjwa na kujikuta amekulia kambini., its fair kumuita muuaji bila ushahidi wakati wewe umefaidi matunda ya amani chini ya mtu unayemdharau Baba wa Taifa., think twice Mtikila huku ukikumbuka maumivu ya kupigwa jiwe huko Tarime kwa uchochezi wako.
Ningependa Watanzania Tusishabikie vitu visivyokuwa na Msingi wakati nchi yetu ikiwa na Matatizo makubwa ya Ajira,Afya,Umeme,Maji,Miondombinu na N.k juzi wenzetu Brazil walipinga Matumizi makubwa ya maandalizi kombe la Dunia Nchini mwao,..sisi leo tunafurahia Serikali kupeleka Jeshi Nchini Congo.,wakati nyumba za Polisi zikiwa katika hali mbaya mfano zile kota za kariakoo msimbazi. ni masuala ya kujiuliza kitu gani kina faida nchini mwetu. kuna mtu hapa jamvini alitoa hoja watutsi watimuliwe nchini kwa msingi hiyo basi mikoa ya Kagera,Kigoma tuindoe kwenye ramani ya Tanzania kwani watutsi ni ndugu zao na hata lugha moja wanaongea. ikiwemo kirundi na kinyarwanda.
Tukiangalia Nchini zilizoendelea Kama MAREKANI,UMOJA WA FALME ZA KIARABU NA AFRIKA KUSINI, hizi nchi ni mchanganyiko wa mataifa mbali mbali, ww Mtanzania hujishughulishi anakuja Mkenya,Mnyarwanda anafanya maendeleo kwenye Nchi yako then unaaznisha maneno ya uchochezi wakati ni udhaifu wako wa kutojiendeleza. Tanzania ni nchi yenye rasimali kubwa sana ya ardhi lakini hatuitumii vizuri kuzalisha na kuongeza pato la Taifa kwanini wageni wasitutolee macho, mi naona waje tu kutusaidia kwasababu tumeshindwa.
Mkuu, Mimi Niko huku mipakani tz na Rwanda, usiseme hayo utakuja kujuta , kagame keshapandikiza majasusi yake idara mbali mbali katika serikari yetu , (rejea jasusi la kinyarwanda lililokuwa likuu kitengo cha majeshi yote ya ulinzi ya Tanzania ambalo lilitoroka kwenye operation ya JK ya kuwafukuza wanyarwanda humu nchini mwaka 2012). Pia kuna majasusi mengine mengi tu kama mbunge wa jimbo la b.....be na wengine wengi walioko mpaka idara ya usalama wa Taifa. Kwa kifupi tukifanya uzembe tutajikuta tunapandikiziwa mkulu mnyarwanda kama Congo walivyopandikiziwa Joseph kabila ambaye ni mnyarwanda anayetawala Congo ,anayesababisha vifo vya wakongo kila siku kwa masilahi ya Rwanda. Nikuase kwa kukwambia kuwa usishabikie kitu usichokijua ni sawa na kuwatandikia wanyarwanda jamvi!Kumbe Kagame ni mmoja wa mashujaa wetu halafu hawa watu wengine wasaliti wanataka kuiandika historia upya?Hawatafanikiwa kamwe na Kagame atalindwa kwa gharama zote na Watanzania.Wanasiasa wasio wazalendo siku zote huwa wasaliti.Nilijua tu Kagame alikuwa innocent.
umebwabwaja sana lakini hujaongelea ilikuaje Watusi wakashika uongozi kwene ardhi ya wahutu wakati wao ni wageni??Habari wanaJF..!