Ukweli kuhusu Rwanda, watutsi, Paul Kagame na uchochezi wa mch. Mtikila

Ila Mungu hakunyimi vyote kagame pamoja na wote ana mwanae ni mzuri balaa
 
lingekuwa jambo la busara kama na ww ungekuja na details zako ambazo ungezitumia kumcriticise huyu ndgu sio kumkosoa na kumlaumu huku ww binafsi hujaweka bayana misingi yako,wasilisha point yako ili tujue upande upi upo sahihi
 
Mi nachojua Kagame ndo chanzo cha vita kule Congo kwa kuwaibia rasilimali zao na mwisho kuwaua.

Haimaanisha kuwa ni mzuri na tuendelee kumshabikia eti tu kisa alisaidia katika vita vya kumng'oa Iddi Amin.
huwa tunahesabu mabaya au mazuri ya mtu mkuu? fika mtizamo wako wajionyesha wahesabu mabaya tena mabaya yenyewe ni yale aliyoyafanya nje ya mipaka yetu na sio kwetu ya nini ushindwe kuthamini kwa yale mazuri aliyokufanyia?
 
aliongeaga david kafulila ktk bunge la ktk ujinga kuhusu NYERERE tangu siku hiyo namdharau sana
 
Umeongea fact mkuu! Jamaa aliyeibua hoja huenda ni mnyarwanda!, na Tanzania tusipokaa Makini huenda tukaja kupata balaa!
 
Mkuu, Mimi Niko huku mipakani tz na Rwanda, usiseme hayo utakuja kujuta , kagame keshapandikiza majasusi yake idara mbali mbali katika serikari yetu , (rejea jasusi la kinyarwanda lililokuwa likuu kitengo cha majeshi yote ya ulinzi ya Tanzania ambalo lilitoroka kwenye operation ya JK ya kuwafukuza wanyarwanda humu nchini mwaka 2012). Pia kuna majasusi mengine mengi tu kama mbunge wa jimbo la b.....be na wengine wengi walioko mpaka idara ya usalama wa Taifa. Kwa kifupi tukifanya uzembe tutajikuta tunapandikiziwa mkulu mnyarwanda kama Congo walivyopandikiziwa Joseph kabila ambaye ni mnyarwanda anayetawala Congo ,anayesababisha vifo vya wakongo kila siku kwa masilahi ya Rwanda. Nikuase kwa kukwambia kuwa usishabikie kitu usichokijua ni sawa na kuwatandikia wanyarwanda jamvi!
 
umebwabwaja sana lakini hujaongelea ilikuaje Watusi wakashika uongozi kwene ardhi ya wahutu wakati wao ni wageni??

Jibu ni kua walikua wanawapa wanawake wafalme wa kihutu baadae kuwaua kupitia wanawake waliowapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…