Ukweli kuhusu stargate

storyteller

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
1,511
Reaction score
1,844
Wana jamvi

Nilipata kusikia habari za "STARGATES" kama kifaa kinachoweza kukusafirisha kwa haraka kwenda sayari nyingine ama katika vyombo wanapoishi alliens kulingana na namba utakazodial

Pia nimeona kupitia tv series inayoitwa STARGATE(SG-1 na kuendelea) zimeonyesha stargate zinavofanya kazi na katika filamu hiyo utaona jinsi inavyohusishwa na kuanza kwa dunia na ukuaji wa tecknolojia kwa haraka...

Katika kutaka kujua zaidi, mitandaoni nikaona kuna watu hadi wanatoa locations za mahali hizo gates zilipo hapa duniani, ingawa bado sijaelewa vizuri

Naamini waandishi/madirectors wa filamu hollywoods ni magenious sana katika kufikisha ujumbe kupitia filamu...

Sasa, wanaJF kama great thinkers, hembu naomba mnipe ufahamu zaidi katika jambo hili kama je, kuna uthibitisho wowote kisayansi(labda unafichwa kwa sasa) kuhusu uwepo wa hizo GATEs?


Nawasilisha.
 
A Discovery Of A Mysterious Map A Stargate generates a wormhole
between itself and a
complementary device at another
location, by being supplied with a
threshold amount of raw energy.
Objects in transit between gates are broken down into their
individual elemental components,
and then into energy as they pass
through the event horizon, and
then travel through a wormhole
before being reconstructed on the other side and exiting another
Stargate. According to the film and Tv show
of the same name, A Stargate is a
name for a class of devices which
allow almost instantaneous travel
between places. Stargates are
circular devices marked out by nine chevrons spaced equally
around their circumference and 39
symbols displayed on an inner
ring. They are typically 22 ft in
diameter, 64,000 lbs in weight, and
thought to be made of an unknown substance. The gates are almost
always operated standing
vertically, though they are operable
in any orientation. Wormhole Physics A wormhole is a hypothetical "tube"
in space connecting widely
separated positions in the
universe. Einstein believed in
them. All wormholes require exotic
materials (material with negative energy density) in order to hold
them open. In 1993, M. Visser
showed that quantum wormholes,
once formed, are stable. Ley Lines Ley lines are alignments of ancient
sites, holy places, and specific
important locations such as stone
circles, standing stones, vortices,
and monuments. Ley lines link a
number of ancient landmarks by a series of straight lines. Ley lines
are literally rivers of energy that
flow through the earth and also
between worlds and other
universes. They are the veins and
traffic arteries that make up the universal transportation system.
They are found in places known as
nexus points. Ley lines occur all
over the world in a crystalline
pattern based on a system of
triangles and that great temples of the ancient world are built into this
pattern at these nexus points all
over the globe. Some of these
places are: The Great Pyramid of Giza in
Egypt
Stonehenge in England
The Bermuda Triangle - 3 Points
Southern Japan’s ââ
‚¬Å“Dragon’s Triangleâ⠂¬Â - an area of intense seismic
activity.
Pyramids at Xian, China.
Easter Island In 1973 Komsomol’s
Pravda (a Russian alternative
newspaper) ran an article entitled
“Earth, What Are You
Anyway?” Suggesting that
the earth started out as a crystal with angular dimensions. Only
after millenia of erosion did the
crystal form itself into a sphere as
we know it today. Some Soviet
scientists suggested that the
boundaries of these crystal faces now lie beneath the surface of our
planet, and that some protrude to
the surface, creating the ââ
‚¬Å“vortices” that we
know of. A pattern of mysterious events
around the world and across over
time has caused researcers to
search for reasons. This
reasearch led to the discovery of a
map showing 12 equally spaced areas around the globe in which
magnetic anomalies and other
energy phenomena occur. (e.g
Bermuda Triangle etc.) This map
of these energy points and
intersections described as "rivers of energy" was somehow lost to
history or purposely taken out of
circulation for many years.
Recently, it has been found. Here
it is: Interesting facts: According to
map researchers the Giza Plateau,
the location of the great pyramid IS
the most powerful vortex point on
the planet, and that the Kingâ€â
„¢s Chamber within the Great Pyramid represents a narrow
gateway to stars. This is the
reason that the pyramids were built
at this location. The architect of the Pyramids was
the high priest Imhotep, who began
building with simple stepped burial
chambers and gradually refined his
art into the amazing structures that
you can see on the Giza plateau today. Evidently he stumbled upon
the intersection of some key ley
lines which pin-pointed the exact
location of the Egyptian stargate.
 
Ni vizuri ukafatilia sayansi ili uwe na uelewa wa kutosha kuhusu haya mambo siku nyingine usidanganyike kirahisi. Anayesema kuna sehemu duniani unaenda kuna stargate ambapo worm-hole linatengenezwa between hiyo sehemu na sayari nyingine anakudanganya..
Kwanza amount of energy inayotakiwa kutengeneza worm-hole ni very massive, hatuna source hiyo duniani yakusupply such amount, na worm holes zenyewe ni something theoretical. Hamna hata moja ambaye alishawahi shuhudia worm-hole.. Hakuna sayari yoyote ambayo binadamu ashawahi kufikia.
 
Mkuu Dreson4 inawezekana hivyo vitu vipo kwani teknolojia inakuwa kila siku. Mi naamin miaka ya 90 angetokea mtu akasema zipo simu za touch screen tungekataa na kusema haiwezekani lakini leo hii tunaziona.

So hata hizo stargate inawezekana zikawepo ila bado wazungu hawajaamua kuweka open sana juu ya hizo gates.
 
wazungu waongo tu hawana lolote wakisema tumefika kwny jua pia mtaamini kumbe hamna walipofika kokote
 
wanachojua ni uongo na kutengeza nuclear kuua watu bc nthng else
 
sisi africa kilichotuumiza mpk tuwe nyuma ya hao jamaa ni umaskini mpk elimu ikawa tabu kwetu lkn we are the same humans!
 
aweze yy ww ushindwe kwasabbu gan??tuache kuwapa vipa umbele hao jamaa walosema binadamu alikua nyani means africn
 
kila kitu kibaya wanakianza na black mfano black market ndo na wao wakaambiwa na toilet paper ni nyeupe bt tunaichambia wanaa
 
sisi africa kilichotuumiza mpk tuwe nyuma ya hao jamaa ni umaskini mpk elimu ikawa tabu kwetu lkn we are the same humans!

Hivi unajua kuwa tajiri wa kwanza dunia nzima alikuwa ni mwafrika mfalme wa Mali aliyekuwa anaitwa Mansa Muss I aliyekuwa anamiliki hela yenye thamani ya $ bill 400.
 
his fortune to charity, was
$64billion. Here’s the full list of the ‘26 richest people of all time’: 1. Mansa Musa I, (Ruler of
Malian Empire, 1280-1331) $400
billion 2. Rothschild Family (banking
dynasty, 1740- ) $350 billion 3. John D Rockefeller
(industrialist, 1839-1937) $340
billion 4. Andrew Carnegie (industrialist,
1835-1919) $310 billion 5. Tsar Nicholas II of Russia
(last Emperor of Russia,
1868-1918) $300 billion 6. Osman Ali Khan, Asaf Jah VII
(last ruler of Hyderabad,
1886-1967) $236 billion 7. William the Conqueror (King of
England, 1028-1087) $229.5
billion 8. Muammar Gaddafi (former
Libyan leader, 1942-2011) $200
billion 9. Henry Ford (Ford Motor
Company founder, 1863-1947)
$199 billion 10. Cornelius Vanderbilt
(industrialist, 1794-1877) $185
billion 11. Alan Rufus (Fighting
companion of William the
Conqueror, 1040-1093) $178.65
billion 12. Bill Gates (Founder of
Microsoft, 1955- ) $136 billion 13. William de Warenne, 1st Earl
of Surrey (Norman
nobleman, ??-1088) $146.13
billion 14. John Jacob Astor
(businessman, 1864-1912) $121
billion 15. Richard Fitzalan, 10th Earl of
Arundel (English nobleman,
1306-1376) £118.6 billion 16. John of Gaunt (son of
Edward III, 1330-1399) £110
billion 17. Stephen Girard (shipping and
banking mogul, 1750-1831) $105
billion 18. Alexander Turney Stewart
(entrepreneur, 1803-1876) $90
billion 19. Henry, 1st Duke of Lancaster
(English noble, 1310-1361) $85.1
billion 20. Friedrich Weyerhaeuser
(timber mogul, 1834-1914) $80
billion 21. Jay Gould (railroad tycoon,
1836-1892) $71 billion 22. Carlos Slim (business
magnate, 1940- ) $68 billion 23. Stephen Van Rensselaer
(land owner, 1764- 1839) $68
billion 24. Marshall Field (Marshall Field
& Company founder, 1834-1906)
$66 billion 25. Sam Walton (Walmart
founder, 1918-1992) $65billion 26. Warren Buffett (investor,
1930- ) $64billion
 
Hivi unajua kuwa tajiri wa kwanza dunia nzima alikuwa ni mwafrika mfalme wa Mali aliyekuwa anaitwa Mansa Muss I aliyekuwa anamiliki hela yenye thamani ya $ bill 400.

ni yy sasa huyo sisi huku bongo na nchi nyinginezo maskini tu mfalme na pesa zake kaziweka kapuni cc msoto tu
 
naona porojo tu... kwani stargates ni kitu gani? tafadhali atakayehitaji kunijibu atumie lugha nyepesi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…