storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Wana jamvi
Nilipata kusikia habari za "STARGATES" kama kifaa kinachoweza kukusafirisha kwa haraka kwenda sayari nyingine ama katika vyombo wanapoishi alliens kulingana na namba utakazodial
Pia nimeona kupitia tv series inayoitwa STARGATE(SG-1 na kuendelea) zimeonyesha stargate zinavofanya kazi na katika filamu hiyo utaona jinsi inavyohusishwa na kuanza kwa dunia na ukuaji wa tecknolojia kwa haraka...
Katika kutaka kujua zaidi, mitandaoni nikaona kuna watu hadi wanatoa locations za mahali hizo gates zilipo hapa duniani, ingawa bado sijaelewa vizuri
Naamini waandishi/madirectors wa filamu hollywoods ni magenious sana katika kufikisha ujumbe kupitia filamu...
Sasa, wanaJF kama great thinkers, hembu naomba mnipe ufahamu zaidi katika jambo hili kama je, kuna uthibitisho wowote kisayansi(labda unafichwa kwa sasa) kuhusu uwepo wa hizo GATEs?
Nawasilisha.