Ukweli kuhusu tuzo ya Mayele

Ukweli kuhusu tuzo ya Mayele

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Wakuu….

Naona Sakata la Fei Toto Linakuja na Propaganda nyingi.

Leo Watu pamoja na Page Rasmi ya Yanga, zimepost na kumpongeza Mayele kuwa Mchezaji Bora wa Congo. Bahati mbaya sana Watanzania Wengi sio Wafuatiliaji na kujua ni nani Yupo Nyuma Ya Hizi Tuzo.

Hizi tuzo zimetolewa na “Media” ya michezo ya Congo na Sio Chama Cha Soka cha Congo, au wa Congo wameamua Kuwa Mayele Ndio mchezaji wao bora. Kwa Lugha Nyepesi ni Kuwa ni Kama Shaffi Dauda, Osca Oscar Media Au Jemedary Said Watoe Tuzo.

Ukweli ni kwamba Mayele Hata Afunge Magoli 50 ligi ya Tanzania Bado Hawezi kuwa mchezaji Bora wa Congo. Ubora wa Ligi yetu hauwezi ku “determine” mchezaji Bora Wa Congo

Congo kuna Wazee wa Kazi kama Chancel Mbemba huyu chukua Mayele, Chukua Makambo, Unganisha Na Timu nzima ya Yanga hawawezi kumfikia moto anao uwasha Ulaya, wengine ni Gaël Kakuta, Silas, Yoane Wissa, Kebano, Tisserand, Muleka, Meshack Elia kutoka Young Boys na wengine Wengi Akina Mpeko, Mbokani.

Mayele Hata Top 50 ya Wachezaji Bora Wa Congo hawezi kuingia.

Kwanini Wanakuja Kuwaongopea Watanzania na Tuzo za Media ambazo zipo kwa Lengo la Kukuza Media Fulani? Hazitambuliki Popote?

IMG_0231.jpg

IMG_0232.jpg
 
Mbumbumbu una wivu wa kike unajua kwamba Balloon Dior ni tuzo iliyo anzishwa na France Magazine 1956 na mbaka Leo ndio utambulisho wa mchezaji Bora wa soka wa Dunia?
Kwakifupi Balloon Dior ni tuzo ya France Magazine wanao shirikiana na FIFA.
Sasa vitu vidogo visikuumize roho.
 
View attachment 2467553
View attachment 2467554
Mtu mjinga usibishane nae mchezaji team ya taifa hayumo eti awe bora kuwazidi wa ulaya na Timu kubwa
 
Wachache watakuelewa. Umezuka mtindo siku hizi wa kuanzisha au kufadhili tuzo za mchongo nje ya nchi halafu kuwapa wasanii wetu ili tuonekane na sisi tumo. Ni hadaa za kishamba.
 
Mkuu hao uliowataja hapo juu ni wachezaji wazuri Sana na kwenye hiyo tuzo wote walikuwepo, nachoona ni kwamba kwenye tuzo yoyote ambayo raia wanaruhusiwa kupiga Kura basi jua anything can happen,

Msimu huu wachezaji wanaotokea Ligi ya Tz kwenye tuzo wameshinda, Sakho goal Bora la mwaka, Khalid Aucho mchezaji Bora wa mwaka Uganda, Mayele mchezaji Bora wa mwaka Congo..hii competition ya Simba na Yanga nadhani ndo inafanya watu wengi hasa watanzania wawapigie Kura wachezaji wao pendwa ili waje kutambiana
 
Wanatumia Ushabiki wa Simba Na Yanga Kukuza Media Zao. Full Stop.

Ni Kama Kuna Tuzo Marekani Diamond Hata Aisiimbe watampa tuuu Mbele ya Wizkid na Burna Boy ukiwa Wakuelewa unaelewa Hawa wanatafuta Followers
 
Mbumbumbu una wivu wa kike unajua kwamba Balloon Dior ni tuzo iliyo anzishwa na France Magazine 1956 na mbaka Leo ndio utambulisho wa mchezaji Bora wa soka wa Dunia?
Kwakifupi Balloon Dior ni tuzo ya France Magazine wanao shirikiana na FIFA.
Sasa vitu vidogo visikuumize roho.

Mkuu Jina La Hizi Tuzo ni lipi? Aliyo shinda Mayele hizi Ni Tuzo zinaitwaje?
 
Wanatumia Ushabiki wa Simba Na Yanga Kukuza Media Zao. Full Stop.

Ni Kama Kuna Tuzo Marekani Diamond Hata Aisiimbe watampa tuuu Mbele ya Wizkid na Burna Boy ukiwa Wakuelewa unaelewa Hawa wanatafuta Followers
Maybe yes, maybe no maana jiulize kitu kimoja wangempa tuzo hiyo mchezaji yeyoye wa tp Mazembe ambae ni maarufu pale kwao wasingepata followers? Unadhan Simba na Yanga zinafatiliwa Zaid pale Congo kuliko Mazembe na vita??
 
Yupo mtukazi huyu anakipiga Ubelgiji, Dieumerci Mbokani

1672750631605.png
 
Maybe yes, maybe no maana jiulize kitu kimoja wangempa tuzo hiyo mchezaji yeyoye wa tp Mazembe ambae ni maarufu pale kwao wasingepata followers? Unadhan Simba na Yanga zinafatiliwa Zaid pale Congo kuliko Mazembe na vita??
Wanawajua wabongo wataifuatilia page. Kuna mwandishi fulani wa Ghana naye ana tabia za kuandika usajili hasa wa Simba akijua wabongo kwenye mitandao ni wepesi kufuatilia habari hizo
 
Wakuu….

Naona Sakata la Fei Toto Linakuja na Propaganda nyingi.

Leo Watu pamoja na Page Rasmi ya Yanga, zimepost na kumpongeza Mayele kuwa Mchezaji Bora wa Congo. Bahati mbaya sana Watanzania Wengi sio Wafuatiliaji na kujua ni nani Yupo Nyuma Ya Hizi Tuzo.

Hizi tuzo zimetolewa na “Media” ya michezo ya Congo na Sio Chama Cha Soka cha Congo, au wa Congo wameamua Kuwa Mayele Ndio mchezaji wao bora. Kwa Lugha Nyepesi ni Kuwa ni Kama Shaffi Dauda, Osca Oscar Media Au Jemedary Said Watoe Tuzo.

Ukweli ni kwamba Mayele Hata Afunge Magoli 50 ligi ya Tanzania Bado Hawezi kuwa mchezaji Bora wa Congo. Ubora wa Ligi yetu hauwezi ku “determine” mchezaji Bora Wa Congo

Congo kuna Wazee wa Kazi kama Chancel Mbemba huyu chukua Mayele, Chukua Makambo, Unganisha Na Timu nzima ya Yanga hawawezi kumfikia moto anao uwasha Ulaya, wengine ni Gaël Kakuta, Silas, Yoane Wissa, Kebano, Tisserand, Muleka, Meshack Elia kutoka Young Boys na wengine Wengi Akina Mpeko, Mbokani.

Mayele Hata Top 50 ya Wachezaji Bora Wa Congo hawezi kuingia.

Kwanini Wanakuja Kuwaongopea Watanzania na Tuzo za Media ambazo zipo kwa Lengo la Kukuza Media Fulani? Hazitambuliki Popote?

View attachment 2467553
View attachment 2467554
Kolo una wivu wakike, tunajua Mayele ni mchezaji bora na msimu huu anachukua ufungaji bora wewe endelea kuumia na wivu wako
 
Wanawajua wabongo wataifuatilia page. Kuna mwandishi fulani wa Ghana naye ana tabia za kuandika usajili hasa wa Simba akijua wabongo kwenye mitandao ni wepesi kufuatilia habari hizo
Out of question..swali langu ni kwamba wangempa mchezaji wa tp Mazembe wasingepata hao followers?? Kwahyo wa Congo wao hawafatilii social media?? How sure you are??
 
Back
Top Bottom