Ukweli kuhusu tuzo ya Mayele

Ukweli kuhusu tuzo ya Mayele

nyie mnao mpinga mayele mnaonekana wote waupande wapili chuki za nini sasa
 
Hata Ballon' do Tuzo zake hazitolewi na fifa na zina heshima kuliko Tuzo za FIFA.

Tuzo kapata Mayele huko kwao Congo, huku Tanzania kuna Watanzania roho zinataka kuwatoka, yani Wanaumiaaa kiasi ambacho muda wowote Roho zao zitaacha mwili.
 
UKISHAKUWA UTOPOLO UNAKUWA NA UTINDIO WA UBONGO DIRECT,
 
Wakuu….

Naona Sakata la Fei Toto Linakuja na Propaganda nyingi.

Leo Watu pamoja na Page Rasmi ya Yanga, zimepost na kumpongeza Mayele kuwa Mchezaji Bora wa Congo. Bahati mbaya sana Watanzania Wengi sio Wafuatiliaji na kujua ni nani Yupo Nyuma Ya Hizi Tuzo.

Hizi tuzo zimetolewa na “Media” ya michezo ya Congo na Sio Chama Cha Soka cha Congo, au wa Congo wameamua Kuwa Mayele Ndio mchezaji wao bora. Kwa Lugha Nyepesi ni Kuwa ni Kama Shaffi Dauda, Osca Oscar Media Au Jemedary Said Watoe Tuzo.

Ukweli ni kwamba Mayele Hata Afunge Magoli 50 ligi ya Tanzania Bado Hawezi kuwa mchezaji Bora wa Congo. Ubora wa Ligi yetu hauwezi ku “determine” mchezaji Bora Wa Congo

Congo kuna Wazee wa Kazi kama Chancel Mbemba huyu chukua Mayele, Chukua Makambo, Unganisha Na Timu nzima ya Yanga hawawezi kumfikia moto anao uwasha Ulaya, wengine ni Gaël Kakuta, Silas, Yoane Wissa, Kebano, Tisserand, Muleka, Meshack Elia kutoka Young Boys na wengine Wengi Akina Mpeko, Mbokani.

Mayele Hata Top 50 ya Wachezaji Bora Wa Congo hawezi kuingia.

Kwanini Wanakuja Kuwaongopea Watanzania na Tuzo za Media ambazo zipo kwa Lengo la Kukuza Media Fulani? Hazitambuliki Popote?

View attachment 2467553
View attachment 2467554
Hv zile tuzo ambazo Henock Inonga bacca alikuwa anagombea beki Bora wa Congo zilikuwa zinatolewa na taasisi gani?? Mbona hatukusikia hizo kelele..tatizo watu hamuangalii uhalisia mmejaa Sana ushabiki
1672753948880.jpg
 
Out of question..swali langu ni kwamba wangempa mchezaji wa tp Mazembe wasingepata hao followers?? Kwahyo wa Congo wao hawafatilii social media?? How sure you are??
Wacongo hawawafikii Wabongo. Kama unataka kuamini hilo, chukua page ya TP Mazembe uweke idadi mahali, halafu uje uichungulie siku tatu kabla Mazembe hawajacheza na Yanga, ulinganishe uone rapid growth of number
 
Wakuu….

Naona Sakata la Fei Toto Linakuja na Propaganda nyingi.

Leo Watu pamoja na Page Rasmi ya Yanga, zimepost na kumpongeza Mayele kuwa Mchezaji Bora wa Congo. Bahati mbaya sana Watanzania Wengi sio Wafuatiliaji na kujua ni nani Yupo Nyuma Ya Hizi Tuzo.

Hizi tuzo zimetolewa na “Media” ya michezo ya Congo na Sio Chama Cha Soka cha Congo, au wa Congo wameamua Kuwa Mayele Ndio mchezaji wao bora. Kwa Lugha Nyepesi ni Kuwa ni Kama Shaffi Dauda, Osca Oscar Media Au Jemedary Said Watoe Tuzo.

Ukweli ni kwamba Mayele Hata Afunge Magoli 50 ligi ya Tanzania Bado Hawezi kuwa mchezaji Bora wa Congo. Ubora wa Ligi yetu hauwezi ku “determine” mchezaji Bora Wa Congo

Congo kuna Wazee wa Kazi kama Chancel Mbemba huyu chukua Mayele, Chukua Makambo, Unganisha Na Timu nzima ya Yanga hawawezi kumfikia moto anao uwasha Ulaya, wengine ni Gaël Kakuta, Silas, Yoane Wissa, Kebano, Tisserand, Muleka, Meshack Elia kutoka Young Boys na wengine Wengi Akina Mpeko, Mbokani.

Mayele Hata Top 50 ya Wachezaji Bora Wa Congo hawezi kuingia.

Kwanini Wanakuja Kuwaongopea Watanzania na Tuzo za Media ambazo zipo kwa Lengo la Kukuza Media Fulani? Hazitambuliki Popote?

View attachment 2467553
View attachment 2467554
Hao waandishi wamemuonaje?
 
Mi mwenyewe nilitaka kushangaa,, kumbe mwamba mmoja tu ana kapage kake ndo kaamua hivyo yeye na hawara yake kwamba page yao wampe tuzo mayele huku utopolo wanatupigia kelele, na hiyo tuzo sidhani hata kama kulikuwa na mchakato wa kura.
 
Wacongo hawawafikii Wabongo. Kama unataka kuamini hilo, chukua page ya TP Mazembe uweke idadi mahali, halafu uje uichungulie siku tatu kabla Mazembe hawajacheza na Yanga, ulinganishe uone rapid growth of number
Sasa kama lengo ni kupata followers huoni kama wakiwapa hiyo tuzo wachezaji wazuri Zaid ndo watapata followers wengi kwann sasa wasiwape hao mnaona ni Bora wakampa Mayele?? Mimi bado naamini kwamba issue ni kwenye upigaji wa Kura watu wengi hasa wa Young Africans pengine na huko kwao walimpa Kura nyingi
 
Wanatumia Ushabiki wa Simba Na Yanga Kukuza Media Zao. Full Stop.

Ni Kama Kuna Tuzo Marekani Diamond Hata Aisiimbe watampa tuuu Mbele ya Wizkid na Burna Boy ukiwa Wakuelewa unaelewa Hawa wanatafuta Followers
Yaani Marekani huko wampe tuzo Diamond ili tu wapate followers kutoka Tz?? Waache kuwapa wa Nigeria ambao population Yao ni kubwa kuliko Sisi na Wana wasanii wazuri wanaotumia lugha wanayoielewa kwelii??????
 
Sasa kama lengo ni kupata followers huoni kama wakiwapa hiyo tuzo wachezaji wazuri Zaid ndo watapata followers wengi kwann sasa wasiwape hao mnaona ni Bora wakampa Mayele?? Mimi bado naamini kwamba issue ni kwenye upigaji wa Kura watu wengi hasa wa Young Africans pengine na huko kwao walimpa Kura nyingi
Kwa taarifa yako, Simba SC ya NBCPL ina followers wengi wa instagram kuliko followers wa Newcastle United ya EPL (zaidi ya mara tatu). Sasa hapo ndipo ujiulize na kujipa majibu mwenyewe, timu gani kati ya Simba na Newcastle ambapo wanapita wachezaji bora na maarufu zaidi. Uendelee kujiuliza na kujipa majibu, Je, mwandishi wa michezo akihitaji kupata followers wengi ataandika habari za Simba ya Tanzania au za Newcastle United ya Uingereza !

1672813043683.png
 
Duuh aisee... Sasa ni wakati wa Mayele kusoma mkataba wake vizuri kujua wapi panavuja... Yaani ofa zinakuja kama zote, alafu situnawajua hawauzagi wachezi wao tegemezi yani ni mwendo wa Kununua na Kuvunja tu mikataba maana hakuna namna hapo.
Ngoja sisi tuendelee na sherehe za maajabu ya Tuzo ya mchezaji bora wa Congo...
 
Kwa taarifa yako, Simba SC ya NBCPL ina followers wengi wa instagram kuliko followers wa Newcastle United ya EPL (zaidi ya mara tatu). Sasa hapo ndipo ujiulize na kujipa majibu mwenyewe, timu gani kati ya Simba na Newcastle ambapo wanapita wachezaji bora na maarufu zaidi. Uendelee kujiuliza na kujipa majibu, Je, mwandishi wa michezo akihitaji kupata followers wengi ataandika habari za Simba ya Tanzania au za Newcastle United ya Uingereza !

View attachment 2468579
Na usichokijua ni kwamba value ya social networks huwa inatofautiana wakati wewe unahangaika na Instagram wenzio wanahangaika na Twitter na kingine ni kuwa wenzetu Ulaya ushabiki wao ni wa kikanda, mfano watu wa Manchester unakuta ni washabiki wa either utd au city, tofauti na huku kwetu unakuta nchi zima raia wamegawana team mbili
 
Kwa taarifa yako, Simba SC ya NBCPL ina followers wengi wa instagram kuliko followers wa Newcastle United ya EPL (zaidi ya mara tatu). Sasa hapo ndipo ujiulize na kujipa majibu mwenyewe, timu gani kati ya Simba na Newcastle ambapo wanapita wachezaji bora na maarufu zaidi. Uendelee kujiuliza na kujipa majibu, Je, mwandishi wa michezo akihitaji kupata followers wengi ataandika habari za Simba ya Tanzania au za Newcastle United ya Uingereza !

View attachment 2468579
Tupe takwimu kabla hawajampa hiyo tuzo Mayele walikuwa na followers wangapi na baada ya kumpa tuzo Wana followers wangapi?? Mwisho wa siku inabidi ukubali tu kuwa voters wameamua kama nilivyosema juu hapo kuwa ushabiki wetu ndo unafanya hawa players wanaotokea Ligi yetu kushinda tuzo maana mashabiki wakiskia tu kuwa mchezaji flan anagombea tuzo flan basi Kura zitamiminika

Nakumbuka tuzo ya Sakho hata mm nilimpigia Kura tena bila hata kuangalia magoli ya anaoshindanishwa nao ili tu tuzo ije nyumban na naamini wengi tu walikuwa kama Mimi tena hata hao nominees wengine watu walikuwa hawawafahamu Ila waka vote kwakuwa Sakho anatokea kwao
 
Back
Top Bottom