Ukweli kuhusu ubongo wa mwanadamu

Ukweli kuhusu ubongo wa mwanadamu

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2011
Posts
3,763
Reaction score
5,607
Watu la harakati ya kusaka maarifa nimekutana na hii kutoka kwa Dr Ben Carson. Daktari bingwa duniani wa mambo yahusuyo ubongo.

Kweli 1: hatuwezi kuoverload ubongo wetu.
Kweli2:ubongo wetu unacells billion 14
Kweli3:kama tukiutumia kwa kiwango cha juu sana/to maximum tunaweza kutunza maarifa yote duniani tangu dunia ilipoanza hadi kesho na bado nafasi ikabaki.
Kweli4:tatizo la ubongo si kwenye kutunza kumbukumbu, ubongo unakomba kila kitu tatizo ni ktk kuzitoa kama hazijapangwa vizuri.

Kutokana na maelezo hapo. Kukosa maarifa ni kwa kujitakia. Hauwezi kuuchosha ubongo.

Kwa wenye maarifa zaidi karibuni.
 
Back
Top Bottom