Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
Vijana wa digitali, huku FB, HUKU WhatsApp, pale twiter pembeni Badooo, Sjui nini na nini...dah..kugusa gusa ka smartphone screen kako kutwa nzima, Unadhani kutakua na matokeo mazuri? Watoto wa wakulima tulimaza miaka ya nyuma. Ila poleni na badilikeni.
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
Wao ni smart life tu, wanaishi maisha ya wafanyakazi sasa sijui maisha yao nani atawasaidia kuishi? Siku hizi ukiwatazama utadhani unaangalia tamthiliya za kifilipino, kitu kidogo kiss, hug, mara hili mara lile mradi tu watengeneze motion...nawasikitikia sana. Ukiwapiga enterview ndio utakoma kabisa...............Hakuna kitu, Hasara tupu.amna haja ya kuwapa pole wasome la sivyo wataishia kulalama tu na kupoteza mda...
alafu wanasema mitihani migumu...shauri yao hawataki kuumiza kichwa kabisa mambo yao laini laini tu.... afu si ajabu ni mtoto wa kiume analalama hapa ....Wao ni smart life tu, wanaishi maisha ya wafanyakazi sasa sijui maisha yao nani atawasaidia kuishi? Siku hizi ukiwatazama utadhani unaangalia tamthiliya za kifilipino, kitu kidogo kiss, hug, mara hili mara lile mradi tu watengeneze motion...nawasikitikia sana. Ukiwapiga enterview ndio utakoma kabisa...............Hakuna kitu, Hasara tupu.
Ila kuna jamaa zangu wanasoma sana na wanasap au wasomeje jamani