m_kishuri
JF-Expert Member
- Jan 27, 2010
- 1,484
- 372
Great Thinker karibu wote memshambulia mleta mada. Yaani hakuna Hata moja aliyejaribu kuangalia upande mwingine wa mlalamikaji. Ni nani asiyejua kwamba University zetu nyingi zipo underfunded?Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
What about overcrowding, poor teaching infrastructure ?
What about poor teaching kwa sababu waalimu hawajui jinsi ya kufikisha ujumbe wao kwa mwanafunzi?
Je UDSM na vinginevyo wanatoa kipaumbele kwenye innovative teaching to enhance students success?
Sasa kama haya yote hayafanyiki, unadhani mwisho wake ni nini?
Kuliangalia hili suala nyeti kiwepesiwepesi na kumshambulia mleta mada sidhani kama inasaidia chochote.
Katika Africa mashariki, Tanzania ndio nchi yenye wasomi wachache per popn. Sasa kama hili suala halitaangaliwa vizuri, basi mstakbali wa nchi upo hatarini.