Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
Great Thinker karibu wote memshambulia mleta mada. Yaani hakuna Hata moja aliyejaribu kuangalia upande mwingine wa mlalamikaji. Ni nani asiyejua kwamba University zetu nyingi zipo underfunded?
What about overcrowding, poor teaching infrastructure ?
What about poor teaching kwa sababu waalimu hawajui jinsi ya kufikisha ujumbe wao kwa mwanafunzi?
Je UDSM na vinginevyo wanatoa kipaumbele kwenye innovative teaching to enhance students success?
Sasa kama haya yote hayafanyiki, unadhani mwisho wake ni nini?
Kuliangalia hili suala nyeti kiwepesiwepesi na kumshambulia mleta mada sidhani kama inasaidia chochote.
Katika Africa mashariki, Tanzania ndio nchi yenye wasomi wachache per popn. Sasa kama hili suala halitaangaliwa vizuri, basi mstakbali wa nchi upo hatarini.
 
Usikatishwe tamaa na kusoma sana na matokeo yako yakawa ya kawaida...kipindi nasoma hapo nilikua nakaza sana matokeo yakawa yanakuja nivyo sivyo nikaacha kukaza nikaanza soma kitozi(kwa kurelax) zaidi tena hizo ni zile wiki 2 kabla ya UE pepa zikawa zinakuja fresh..tuu..usiumize kichwa sana..ndugu...lower second hapo ni kawaida sana...!!
 
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?


Siku hizi kuingia udsm ni kama kuingia shule ya awali siku hizi kuna wanachuo udsm hawajui kusoma na kuandika.
 
Siku hizi kuingia udsm ni kama kuingia shule ya awali siku hizi kuna wanachuo udsm hawajui kusoma na kuandika.

Kama ni hivyo, basi kosa ni LA Chuo na si LA wanafunzi. Ukifanya kazi mbovu kwenye usaili na admission basi ujue unahasara.
 
Me nimewaambia ni born before computer na hapa siandiki kwa kalamu jomba
 
Unajua hamtaki kukubali kua udsm hakuna kitu ni jina tu
 
tatizo liko kwa hao walioenda na division 1+ wakifika chuoni ni disco kuvaa mitumba ya kim kadashan na ku'olewa' . unategemea nn zaidi ya kudisco ... wahediii
 
Sijasoma UDSM lakini bado naheshimu uwepo wake na elimu inayopatikana pale. Unayesema mitihani ni migumu bado sipati picha vizuri kama uko sawa kiakili, kwenye ugumu ndipo mafanikio yalipo. Onyesha kwamba unajua na unafanya unachokijua sio husomi, unapuyanga mjini unategemea anayekufundisha akuletee kilicho chini ya kiwango ili upate A.
Haihitaji kukesha ili ufaulu, inahitaji umakini na kuelewa ili kujibu umeelewa na unajua nini katika mtihani.
Sidhani kama pole itakusaidia kwa kesho lakini Piga kitabu, elewa nafasi yako na kuwa makini katika masomo yako.
 
Tatizo sisemi mitihani migumu suala ni kwanini mnadai ni bora na rate ya kufeli inapanda?
 
Tatizo sisemi mitihani migumu suala ni kwanini mnadai ni bora na rate ya kufeli inapanda?

Ukishaingia chuo utaweza lijibu hlo swali, kwa sasa huwez pata jibu kwa sababu hata upeo wako bado ni wa level ya sekondari.
 
Me ni Geneus hapa Na naamini hivyo sa mie napambanua kielimu ya juu kua elimu bora ni nini?
 
Ikiwa wewe ni mwanachuo wa mwaka wa tatu na unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, kweli kazi ipo.

Hata "supplementary" imekushinda kuandika, majanga!

Hii nchi tuna safari ndefu ajabu.
Nilitoa GPA 4.0 single seat bila C sasa nafanya CPA acha kulalamika kaka soma just GOAL SETTING and DISCIPLINE baaasi
 
Hivi unajua waalimu wengi lengo lao ufeli hasa wa hapa Udsm mana anafundisha afu anatamba kua semister hii nataka nishike 80.Sasa unazani utaponea wapi?
 
Back
Top Bottom