Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

Tiba suala ni kua kwanini mnadai ni bora afu supu ni nyingi?huo ubora ukwapi si aheri vya kata hawasapui wako poa


Hivi uko serious kabisa unalalamika chuo sio bora kwa kuwa supp ni nyingi? Kuanzia leo tambua kuwa chuo sio sekondari, matokeo ya chuo hayapimwi kwa idadi kubwa ya ufaulu. Acheni uvivu someni, yaani mnataka mitihani mirahisi? kwani nini maana ya shule? Tatizo letu mnatumia mda mwingi kufanya showoffs mnasahau kitabu. Na hao ma-lecturer wanafanya makusudi ili muwe busy kusoma,manake wengi wenu mnasahau kilichowapeleka chuo.
Panga ratiba yako vizuri, kata buku sawasawa na ishi kama mwanafunzi,utafaulu acha kulalamika.
 
Suala ni kua mnajisifia sa ubora ukwapi na sio nisomeje,mnajigamba mtaani lakini hamna lolote mnanuka supu
 
Upumbavu mtupu,mijitu badala yakusoma inabaki kujisifia,ooooh cjui chuo chetu bora,nawanaosoma Harvad,Oxford,cambridge wasemeje? Hii nchi aliyeiroga nadhan ameishakufa nakabur lake halijulikani lilipo vinginevyo tungeenda kumuomba atunusuru
 
UDSM enzi zetu bana,
Kwa sasa hovyoooooooo...
 
Stanboy kweli siku hizi nothing
 

Kwa ujumla elimu ya Tanzania kwa sasa iko chini sana, utakuta kijana kamaliza sekondari tena A-level hawezi kufahamu mita moja ni sawa na futi ngapi! Kwa mwendo huu, na jinsi ninavyoifahamu UDSM hakuna cha mswalie mtume lazima watu wakamatwe kama kuku wa kisasa. Kama Supps zinafika 500 kwa chuo kizima ni dalili tosha kuwa wanachuo wetu hawasomi wameenda chuoni kusubiri digrii. Mimi nashauri hata hivyo 'vyuo vingine' wakaze uzi, wawakamate hawa kizazi cha .com hadi wakome, unakuta mtu ana GPA ya 4.5 kutoka vyuo vingine lakini ni mweupe ajabu. UDSM mmeonesha njia vyuo vingine fuateni nyayo tupate wasomi wazuri.
 
Acheni uvivu mbona wenzako wanaFaulu tena mpaka anamaliza hana Sup.
 
Tuliopita UDSM tunakushangaa!unadhan bila sup watu wangekua wanaingia lecture?wangekua wanasoma?maisha sio lelemama acha kufikir kana kwamba huna ubongo kama vp jaribu ujinga kidogo!
 
Me ni mwana udsm na naongea hali halisi
 
Udsm ni zamani wazee ukweli utabakia,usidanganyike na jina eti vyuo vingine ni vya kata! Nyie malizeni chuo mje tuwafanyie registration vijiweni .komaeni udsm ni kama vyuo vingine tu
 
Kweli udsm ni sawa na vingine
 

Waambie hao!!
 
Ikiwa wewe ni mwanachuo wa mwaka wa tatu na unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, kweli kazi ipo.

Hata "supplementary" imekushinda kuandika, majanga!

Hii nchi tuna safari ndefu ajabu.

Shikamoo. Kakosea tuu kibinaadam,kateleza tuu!
 
kma unapaona kajarbu veta kdgo kule hmna supp wala disco
 
hamna kitu udsm bana..quality ya education ipo chini period.
 
untmia vigezo gani kujua kupanda na kushuka kiwango cha taaluma udsm???
 
Tuliopita UDSM tunakushangaa!unadhan bila sup watu wangekua wanaingia lecture?wangekua wanasoma?maisha sio lelemama acha kufikir kana kwamba huna ubongo kama vp jaribu ujinga kidogo!

Mkuu hata mimi nimepita udsm unayoyasema ni sahihi shule ikiwa ngumu inakujenga sana kimaisha matunda yake nayaona kwa sasa.Tatizo la vijana wengi wa kizazi hiki wanapenda urahisi wa kupata bila kujishughulisha wala kujibidiisha ili kufikia malengo waliojiwekea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…