Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

Sap na Disco zipo nyingi kwa sabab chuo hakitak mchezo kinataka wanafunz wanaojituma na wanaojitambua na wanaoweza kukiwakilisha chuo vyema wawapo nje ya chuo.. wanafunz weng wa ckuiz tunafany mchezo na chuo na ndio maana haya yanatokea! Binafsi sioni tatizo hapo zaidi zaidi naona wewe unataka uruhusu uzembe na ujinga utawale chuoni!
 
Kwa hiyo bado sapu zikiongezeka ni elimu bora?
 
huko Udsm tatizo mmedekezwa.ili mtu afanye UE sharti afikishe 16 ktk course work, UE 40 na hiyo ipo tofauti na vyuo vingine kama SAUT,MWENGE na MAKUMIRA ambapo huingia UE wakiwa na course work ya alama 20 afu UE alama 50. Nashangaa kusikia kuwa Udsm suplementary ni nyingi wakati vyuo vingine ni kwa nadra sana.
 
Msomaji ndio hapo sasa kama cozwork ndogo na watu tunadisco huo ubora wa Udsm ukwapi au ni mazoea hatutaki kukubali kua udsm ni kama wengine tu hapa bongo
 
Inaonesha mnapenda sana disco,nitakuja kuwafungulia ukumbi hapo ili kila mwaka na wale wa miaka ya nyuma walio-disco muwe na together party.
 
Tuilaumu tcu siku hizi kuna hadi division iv unakuta iii anasoma sheria.
 
Wapo wanaofaulu sana ila mbona supu ni nyingi sana na mnadai bora
Kwa jinsi mtaala wa UDSM ulivyo unakufanya pale unapoanza semester tu, ni mchakamchaka hadi unamaliza semester, sasa kwa wale ambao hawawezi mchakamchaka huo, matokeo yake ndio hizo sapu na disco!
 
mnasoma kweli.ila je mnachokisoma mnakijua?au ndo mnakalili 2.
Elimu ya chuo kikuu ni kukupa maarifa ili wewe uyafanyie kazi yaani ufanye kitu kutokana na maarifa hayo uliyopewa, sasa hapa saula la kukijua unachokisoma au kukariri ulichokisoma inategemeana na mtu mweyewe (mwanafunzi).
 
Bisan nipo Udsm na ni Marxist follower
 
Nipo Humanities mbona
 
Nipo fuculty ofHumanities mbona
 
Bachellor of Geography
 
Ikiwa wewe ni mwanachuo wa mwaka wa tatu na unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, kweli kazi ipo.

Hata "supplementary" imekushinda kuandika, majanga!

Hii nchi tuna safari ndefu ajabu.

Aibu kwa third year wa UDSM kuandika hivyo na sio ajabu alifeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…