padlock
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 329
- 505
Habari za majukumu wakuu, nimeona tujuzane mawili matatu juu ya mwanasayansi huyu Victor Frankeistein ambaye kwangu ktk kumsoma nimeona ni moja kati ya wanasayansi walio very UNDERRATED sana kulingana na kazi zake alizowahi kuzifanya na hii inaweza kutokana na, Moja kazi zake kuaminiwa kuwa MYTHICAL sanaa ama USIRI wa kazi zake ktk watu kuzifahamu kiundani nao pia unaweza ukawa chanzo.
Nielezee kwa ufupi sana kile alichowahi kufanya huyu jamaa, katika maisha ya uhai wake aliweza kufanya mambo meengi sana yakitafiti na moja ya lengo lake ni kurudisha mfu ktk uhai upya na kumpa maisha tena, alifanya kazi nyingi zakitafiti hadi kufikia kutengeneza kiumbe kinachosadikia kuwa alikipa uhai kutoka mfu, kutokana na hofu yakutoaminika kwa watu kulingana na kazi zake zakitafiti aliweza kutozisema kwa watu kwa maana wangemuona kama mwehu ama sio taahira.TATIZO lilikuja pale kile kiumbe alichokitengeneza kuwa na tabia tofauti na za kibanadamu na kuanza mchakato wakukitokomeza ili kisilete madhara, ijapokuwa alishindwa kukitokomeza aliweza kuchoma na kuharibu tafiti zake na nyaraka mbali mbali ili zisije tumiwa vibaya na watu wengine kwa mambo yao binafsi.
Mpaka mwanasayansi na mtafiti huyu anafariki hakujawahi fanikiwa kupata kumbukumbu za kazi zake na wala kuzungumziwa kwa lolote juu ya kazi zake kama wanasayansi wengine.