Ukweli Kuhusu Victor Frankeistein

Ukweli Kuhusu Victor Frankeistein

padlock

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
329
Reaction score
505
Habari za majukumu wakuu, nimeona tujuzane mawili matatu juu ya mwanasayansi huyu Victor Frankeistein ambaye kwangu ktk kumsoma nimeona ni moja kati ya wanasayansi walio very UNDERRATED sana kulingana na kazi zake alizowahi kuzifanya na hii inaweza kutokana na, Moja kazi zake kuaminiwa kuwa MYTHICAL sanaa ama USIRI wa kazi zake ktk watu kuzifahamu kiundani nao pia unaweza ukawa chanzo.
Nielezee kwa ufupi sana kile alichowahi kufanya huyu jamaa, katika maisha ya uhai wake aliweza kufanya mambo meengi sana yakitafiti na moja ya lengo lake ni kurudisha mfu ktk uhai upya na kumpa maisha tena, alifanya kazi nyingi zakitafiti hadi kufikia kutengeneza kiumbe kinachosadikia kuwa alikipa uhai kutoka mfu, kutokana na hofu yakutoaminika kwa watu kulingana na kazi zake zakitafiti aliweza kutozisema kwa watu kwa maana wangemuona kama mwehu ama sio taahira.TATIZO lilikuja pale kile kiumbe alichokitengeneza kuwa na tabia tofauti na za kibanadamu na kuanza mchakato wakukitokomeza ili kisilete madhara, ijapokuwa alishindwa kukitokomeza aliweza kuchoma na kuharibu tafiti zake na nyaraka mbali mbali ili zisije tumiwa vibaya na watu wengine kwa mambo yao binafsi.
Mpaka mwanasayansi na mtafiti huyu anafariki hakujawahi fanikiwa kupata kumbukumbu za kazi zake na wala kuzungumziwa kwa lolote juu ya kazi zake kama wanasayansi wengine.
 
Sasa ww hizi taarifa umezipataje?
 
sasa mtu kawa UNDERATED kivipi wakati alichoma scientific research zake!?...Nikikwambia babu yangu aligundua kufanya mageuzi ya chuma kwenda gold utaamini!?..Ukiamini huna akili!
 
Huyo kiumbe Wa ajabu aliyetengenezwa atakuwa trump!! simpendiii yani watu na heshima zetu anatuita shit holes!!
 
ni stori ya kweli aliweza kumtengeneza mwanadamu kwa kutumia lightning ila mwanadamu huyo alikuwa hana sifa za uanadamu na halitaka kumuua hata victor frankestein na victor alipambna na kukiangamza kiumbe hcho hstoria hii iliandikwa na mtu wa karibu na victor kwa maelezo zaidi search google upate more.
 
Frakeinsten ni character wa movie na hajawahi kuexist ni sawa na wataalam wakina allan quaterman wote ni characters wa novel
 
Am not sure abt your story... Ila what i know its just a movie.. Na white people they like to praise eachother ili kuzdi kutujengea dhana that are the intelligent people than us... But sidhan kama kweli..!!
 
Back
Top Bottom