Ukweli kuhusu viumbe wa ajabu wanaovamia dunia.

Ukweli kuhusu viumbe wa ajabu wanaovamia dunia.

mimi na rafiki yangu wakati tupo secondary nakumbuka ilikua mida kama saa3 tunatoka kwenye matembezi yetu tunaelekea hostel, tuliona viumbe wa ajabu walikua wawili ni kama binadamu ila hawakua binadamu wa kawaida walikua bize na stori zao ghafla tukakutana uso kwa uso tulikosa uvumilivu kila mmoja alikimbilia njia yake tulienda kukutana hostel tusiamini tulichokiona na kila tuliemuadithia hakutuamini. viumbe wa ajabu wapo wazungu watawaita alliens ukija kwetu utasikia vibwengo nk ila kwa wataalam ndio wanaweza kuchunguza na kujua maisha yao technology yao wanaishi wapi nk. ila ni kweli wapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sio kutoka sayari nyingine hata wanadamu tunao wa ajabu tunaishi nao
 
Mkuu UFO ni undefined flying Objects.


usifananishe na Aliens... Hao aliens inasadikika wanatumia ufo kama usafiri wao.

sasa nnachouliza hapa ni kuwa ,binadamu hawezi kutengeneza ufo au aliens ... nikimaanisha ""something like robot"
linalofanana na ufos
Ni UNIDENTIFIED na siyo undefined. As long as UFO siyo DRONES, there is no way zinaweza ku-fly bila kuwa na mtu. Hivyo UFO maana yake ni chombo pamoja na binadamu, na si chombo peke yake!
 
Back
Top Bottom