Fundi Mchundo,Mohamed Said,
..Bakwata walikuwa na observer wakati wa mazungumzo baina ya serikali na taasisi za Kikristo yaliyopelekea kusainiwa kwa MOU inayolalamikiwa na kulaaniwa.
..kuna mchangiaji hapa jamii forums alikuwepo wakati wa mazungumzo hayo, na ndiye aliyeleta habari hizo. serikali baada ya kushindwa kuendesha shule na hospitali ilizotaifisha ilikwenda kwa wamiliki wa zamani wa shule hizo na kuwaomba wasaidie ktk ukarabati na uendeshaji. hciho ndicho kilichopelekea kuanzishwa kwa mazungumzo na hatimaye kusainiwa kwa MOU.
..lazima tuelewe mchango wa taasisi za makanisa ktk utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii nchini. sioni kwanini serikali ijiweke mbali na taasisi zinazotoa msaada mkubwa kwa jamii kiasi hicho.
NB:
..hospitali za Kanisa hazibagui mtu kwa misingi ya imani yake. Al Marhum Sheikh Harith Bin Khelef, Kadhi wa Zanzibar, kabla hajapelekwa India, alipatiwa matibabu Kilimanjaro Christian Medical Center[kcmc].