steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,175
- 1,588
aisee, kumbe aya mambo yalianza kitambo ?Ukisoma biblia Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alilea tu
Ukisoma biblia Kuna zambi inaitwa zambi ya asili
Nizambi alizofanya Adam na Eva binadamu wote wanazifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika na hiki unachokisema ??? Au unataka kufurahisha watu na uzushi wako???Sikuizi kumekuwa na wimbi kubwa la akina baba walezi nikimaanisha mkeo anakubebea mimba kutoka kwa mchepuko wewe unalea
Ukijalibu kufikilia utapata jibu wanawake siyo kosa lao ila ni mwendelezo wa yaliyofanywa na Eva kwenye biblia
Ukisoma biblia Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alilea tu
Kwahiyo na wanawake wa Sasa wanafanya vilevileee na wanaume pia wanafanya vilevileee
Sent using Jamii Forums mobile app
Shetan alimpa Eva tunda Eva akaenda kumpa na mume wake unajuw tunda ni nin? Eva alikuwa na watoto wawili kaini na Abel Kati yao mtoto mmoja tu ndyo wa Adam Soma biblia na uieleweUna uhakika na hiki unachokisema ??? Au unataka kufurahisha watu na uzushi wako???
Mwingine ni wa nani ??? Wakati walikuwa hao tu ebu acha ujinga kujifanya unajua sana mpuuzi weweShetan alimpa Eva tunda Eva akaenda kumpa na mume wake unajuw tunda ni nin? Eva alikuwa na watoto wawili kaini na Abel Kati yao mtoto mmoja tu ndyo wa Adam Soma biblia na uielewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Godfrey 😄😅😃😂😁
Yaani Kashindwa Hili Neno DhambiZambi ndo kitu gani wewe?
akikujibu nitag. mimi mwenyew ni mzushi ila nmenyoosha mikono hapo, maana ni sawa aseme kuna mchizi mwingine alikula tunda (la eva) kimasihara.Mwingine ni wa nani ??? Wakati walikuwa hao tu ebu acha ujinga kujifanya unajua sana mpuuzi wewe
Si kaini na abelakikujibu nitag. mimi mwenyew ni mzushi ila nmenyoosha mikono hapo, maana ni sawa aseme kuna mchizi mwingine alikula tunda (la eva) kimasihara.
Duuh Biblia gan unayoizungumzia mkuu na leo j2 kumbuka uongo dhambi ohoooShetan alimpa Eva tunda Eva akaenda kumpa na mume wake unajuw tunda ni nin? Eva alikuwa na watoto wawili kaini na Abel Kati yao mtoto mmoja tu ndyo wa Adam Soma biblia na uielewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma biblia utaelewa usiwe mkariMwingine ni wa nani ??? Wakati walikuwa hao tu ebu acha ujinga kujifanya unajua sana mpuuzi wewe
Kama hajui shetan alifanya tendo na Eva nyoka ni lugha tuu imetumika pia tunda hakukuwa na tunda la katikati Bali mungu aliwaambia wasikutane kimwil mpaka atakapo waruhusuakikujibu nitag. mimi mwenyew ni mzushi ila nmenyoosha mikono hapo, maana ni sawa aseme kuna mchizi mwingine alikula tunda (la eva) kimasihara.