Si kaini na abel
Wa kwanza Kaini alikuwa muuaji/muongo...nadhani baba yake anajulikana
Wa pili Abel...alikuwa poa maana ni zao la Adam.
Yesu alisema yule "mwovu aka shetani ambaye alikuwa muuaji na muongo toka mwanzo"...ooh kumbe shetani anafanana kitabia na KAINI.....mmmh
Na nani alimfundisha kaini Kujenga mji aliposepa nyumbani kwa adam (ooh ni baba yake)
Why Mungu alikataza watoto wa Seth wasizaliane ana kizazi cha Kaini????? Nadhani sababu bloodline yake ilikuwa chafu.
Gharika ilifuta hii bloodline....Maana ingeleta shida kubwa duniani.....Imagine bloodline ya Mzee baba iko na sisi duniani.
Sent using
Jamii Forums mobile app
Tatizo boby firmino watu wanaielewa Bible kwa kukaririshwa mafundisho Kanisani na viongozi wao wa dini badala ya kutumia maarifa Yao kuijua iliyo kweli..
Baadhi ya mistar kutoka kwenye Bible inayoleta utata juu ya kaini kuwa mtoto wa Adamu Ni hizi:
"Wewe mwanamke(Eva) nitakuzidishia utungu nawe utazaa kwa uchungu" .hapa ilikuwa baada tu ya kulishwa tunda na sheti then nae akaenda kumlisha Adam.
"Adamu akamjua mkewe akamzaa abili". tunaona Bible ilivyoweka wazi mtoto halisi wa Adam na Wala haijazungumzia kuwa akamuzaa kaini Maana ndo alikuwepo kabla ya "Abili"
Baada ya Abili kufarik Bible inaendelea Tena kusema:
"Adamu akamjua mkewe tena akamuzaa sethi mbadala wa Abili"(son of God).
Hapa nafkri wote tunajua matumizi ya Neno TENA?.
Swali juu hiyo Tena; je nikwanini wakati Adam anamjua mkewe kumuzaa Abili halikutumika Neno "Tena" angali tyr Kaini alikuwa ashazaliwa?
NOTE; ikumbukwe wakati Abili anazaliwa kaini alikuwa hajatenda Dhambi mbele za mungu ko habari za hoja nyepesi kuwa alikuwa na Dhambi ndo Maana hakutajwa hazihitajiki.
"Ndipo mungu akaamua kuangamiza kizazi chote Cha mchanganyiko Kati ya wanadamu na Wana wa mungu(majitu au manefili) baada ya Wana wa mungu kuanza kuoana na wanadamu".
Swali; je Kama kweli kaini angekuwa Ni damu ya Adam ingewezekana je kuzaliwa kwa hayo majitu/manefili? Kwasababu wajuzi ndo wanamtafasiri kaini km ndo alikuwa mzazi wa wanadam harf Seth ndo alikuwa kwenye upande wa Wana wa mungu. Je hatuoni kuwa Ni wazi damu ya sethi na Kaini ilikuwa haiendani hata kidogo? Je nikweli Kama wewe unasali Sana na unaroho mtakatifu ndani yako harfu Kaka au dada ako tumbo moja akawa mchawi/mlevi Hana Imani kabisa, gene zenu(damu zenu) zinaweza tofautiana kisa Imani?
Mwisho; ulishawahi kujiuliza nikwanini kitabu kilichoandika kuhusu maisha ya bustani ya Eden kiliondolewa kwenye Bible (hakikuwekwa)?..
Ndg tusiwe wachovu wa kuisoma Bible na kuielewa Achana na ngojera unazopigiwa Kanisani na watafta sadaka ili familia zao zipate kuweka mkono kwenye kinywa.
Kikowap hiki kitabu na hiki ndo kina kila kitu kuhusu maisha ya Edeni.