Ukweli kuhusu wanawake kuzaa nje ya ndoa

Ukweli kuhusu wanawake kuzaa nje ya ndoa

Ukiwa unataka kumpa mwanamke wako ujauzito na unataka mambo yasiende kushoto, hakikisha mnakwenda sehemu mbali na nyumbani..... Yaani vacation sehemu ambapo hamjulikani..... Huko ndipo unachapa kitu na uhakikishe umepima kama mbegu zako zipo active plus ule vizuri zile wiki mbili za kabla hamjaondoka hakikisha unajizuia kufanya nae ili usave nguvu ya kugegeda mkiwa likizo.....

Kwan huwa hamjiulizi watu huwa wanasafiri kipindi cha honeymoon baada ya ndoa.... Ni kwasababu inafahamika wanawake wa siku hizi ni mitambo sana katika kuwa na adabu na ndoa zao...... Hapo anaweza kulana na X wake mimba ukaja bebeshwa wewe....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuulize tu, Wewe ni dini gani?? Kwa sababu hata kitabu ulicho kinukuu yaani Bibilia huijui ila unaifikiria tu. Pole sana. Yaani miaka yoote tangu Adam na Hawa wakosee pale Eden weye ndo umekuja kutufungua macho kuwa, Hawa alifanya mapenzi na nyoka?? Kwa nini usiamini kuwa ni tunda la kweli??
Nadhani hata wangesema ni hilo wazo lako bado ungesema, hakuwa nyoka bali mtu akafa baada ya kumwaga. Cheza na kila kitu ila usipende kulighoshi neno la Mungu
 
Inawezekana ndio maana mwanamke hubikiriwa nankufundishwa mapenzi kule kosha huja kwa mune wake kuolewa na kuzaa
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

MTOA MADA UNATAKA USEME SHETANI AU NYOKA ALIKULA TUNDA LA EVA KIMASIHARA (KUCHEPUKA) HALAFU EVA AKAPATA MIMBA AKAMSINGIZIA ADAMU ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitaka kuandika wee ila nikagundua kuwa una version yako special ya Biblia tofauti na Biblia Takatifu
 
Embu nifafanulieni kidogo basi sijaelewa kitu wakat wa adam na eva kuna mtu mwingine alikuwapo kwenye bustani au waliumbwa wawili tu kipindi hicho na je ni nani ambaye alikula mzigo na eva?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la akina baba walezi nikimaanisha mkeo anakubebea mimba kutoka kwa mchepuko wewe unalea.

Ukijaribu kufikiria utapata jibu wanawake siyo kosa lao ila ni mwendelezo wa yaliyofanywa na Eva kwenye Biblia.

Ukisoma Biblia, Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi. Alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alilea tu.

Kwahiyo na wanawake wa Sasa wanafanya vilevile na wanaume pia wanafanya vilevile.



Sent using Jamii Forums mobile app
Bush Theology!!! Umeipata kwenye source ipi? Definitely, not the Holy Bible!!
 
Ukijaribu kufikiria utapata jibu wanawake siyo kosa lao ila ni mwendelezo wa yaliyofanywa na Eva kwenye Biblia.

Ukisoma Biblia, Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi. Alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alil
Huyo mtoto anaitwa nani
 
Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la akina baba walezi nikimaanisha mkeo anakubebea mimba kutoka kwa mchepuko wewe unalea.

Ukijaribu kufikiria utapata jibu wanawake siyo kosa lao ila ni mwendelezo wa yaliyofanywa na Eva kwenye Biblia.

Ukisoma Biblia, Eva alikula tunda na tunda ilikuwa ni kufanya mapenzi. Alifanya mapenzi akapta ujauzito nje ya mume wake Adam na Adam alilea tu.

Kwahiyo na wanawake wa Sasa wanafanya vilevile na wanaume pia wanafanya vilevile.



Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada Mungu akusaidie sana...[emoji23][emoji23][emoji23]

am better here
 
YAANI HAWA VIJANA... WANAVYODISCUSS...

ETI MAMA YAO ALILIWA MZIGO NJE YA NDOA.. .

EVA NI MAMA YENU. .. MNAVYOMSEMA UTASEMA NI VICHANGUDOA VYENU TU.. .

HIVI KWA MFANO NIKIKWAMBIA MAMA AKO MZAZI ALILIWA MZIGO KIMASIHARA NA MIMI HAPA UTAJISIKIAJE.. .?

AU MNALOPOKA TU KWA KUWA MMESAHAU MLIPOTOKA.. .

UNATAFSIRI MAANDIKO UNAVYOTAKA... NI SHETANI HUYO HUYO BABA YENU NDIYE ANAYEWAFUNDISHA MPOTOSHE MAANDIKO.. .

MIMI NI MUISLAAM LAKINI SIKUBALI KUPOTOSHA MAANDIKO YA INJILI TAKATIFU YA YESU MASIAH.. . NA KUPOTOSHA HIYO NDIO KAZI YA SHETANI...
 
Si kaini na abel
Wa kwanza Kaini alikuwa muuaji/muongo...nadhani baba yake anajulikana
Wa pili Abel...alikuwa poa maana ni zao la Adam.
Yesu alisema yule "mwovu aka shetani ambaye alikuwa muuaji na muongo toka mwanzo"...ooh kumbe shetani anafanana kitabia na KAINI.....mmmh
Na nani alimfundisha kaini Kujenga mji aliposepa nyumbani kwa adam (ooh ni baba yake)
Why Mungu alikataza watoto wa Seth wasizaliane ana kizazi cha Kaini????? Nadhani sababu bloodline yake ilikuwa chafu.
Gharika ilifuta hii bloodline....Maana ingeleta shida kubwa duniani.....Imagine bloodline ya Mzee baba iko na sisi duniani.


Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo boby firmino watu wanaielewa Bible kwa kukaririshwa mafundisho Kanisani na viongozi wao wa dini badala ya kutumia maarifa Yao kuijua iliyo kweli..

Baadhi ya mistar kutoka kwenye Bible inayoleta utata juu ya kaini kuwa mtoto wa Adamu Ni hizi:

"Wewe mwanamke(Eva) nitakuzidishia utungu nawe utazaa kwa uchungu" .hapa ilikuwa baada tu ya kulishwa tunda na sheti then nae akaenda kumlisha Adam.

"Adamu akamjua mkewe akamzaa abili". tunaona Bible ilivyoweka wazi mtoto halisi wa Adam na Wala haijazungumzia kuwa akamuzaa kaini Maana ndo alikuwepo kabla ya "Abili"

Baada ya Abili kufarik Bible inaendelea Tena kusema:

"Adamu akamjua mkewe tena akamuzaa sethi mbadala wa Abili"(son of God).
Hapa nafkri wote tunajua matumizi ya Neno TENA?.

Swali juu hiyo Tena; je nikwanini wakati Adam anamjua mkewe kumuzaa Abili halikutumika Neno "Tena" angali tyr Kaini alikuwa ashazaliwa?
NOTE; ikumbukwe wakati Abili anazaliwa kaini alikuwa hajatenda Dhambi mbele za mungu ko habari za hoja nyepesi kuwa alikuwa na Dhambi ndo Maana hakutajwa hazihitajiki.

"Ndipo mungu akaamua kuangamiza kizazi chote Cha mchanganyiko Kati ya wanadamu na Wana wa mungu(majitu au manefili) baada ya Wana wa mungu kuanza kuoana na wanadamu".

Swali; je Kama kweli kaini angekuwa Ni damu ya Adam ingewezekana je kuzaliwa kwa hayo majitu/manefili? Kwasababu wajuzi ndo wanamtafasiri kaini km ndo alikuwa mzazi wa wanadam harf Seth ndo alikuwa kwenye upande wa Wana wa mungu. Je hatuoni kuwa Ni wazi damu ya sethi na Kaini ilikuwa haiendani hata kidogo? Je nikweli Kama wewe unasali Sana na unaroho mtakatifu ndani yako harfu Kaka au dada ako tumbo moja akawa mchawi/mlevi Hana Imani kabisa, gene zenu(damu zenu) zinaweza tofautiana kisa Imani?

Mwisho; ulishawahi kujiuliza nikwanini kitabu kilichoandika kuhusu maisha ya bustani ya Eden kiliondolewa kwenye Bible (hakikuwekwa)?..
Ndg tusiwe wachovu wa kuisoma Bible na kuielewa Achana na ngojera unazopigiwa Kanisani na watafta sadaka ili familia zao zipate kuweka mkono kwenye kinywa.

Kikowap hiki kitabu na hiki ndo kina kila kitu kuhusu maisha ya Edeni.
tapatalk_1581457976942.jpeg
 
Back
Top Bottom