Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
wanawake tulishawaelewa wanume,in short mi hata sifa sizihitaji kama nakuhitaji nitakukubali otherwise we imba,sifia,nunua chochote,nipeleke popote sina time na wewe.msisahau pia uwezo wa kudanganya si suala la jinsia ya kiume pekee,tuna uwezo wa kudanganya mara 50 ya wanaume,na uongo wetu ni mkubwa na mbaya na usioweza gundulika hadi siku ya ufufuo.....so it goes both way,usijione we kinara kumbe hujui na ukijua yaweza kuwa mwanzo wa safari yako kuelekea kuzimu.
madam....keduu.....linataka ulilambe miguu?.....chifyakwaaa....mmbanu......
Unaonekana una chuki sana na madume ya mbegu
kumbe na nyinyi mnapenda kudanganywa eee amesema ukweli unamwambia anachuki
unanuka km beberu
unatisha km mzimu.
punguza vitisho mama
Hapo kwenye italic umenikumbusha zile staili zilipenwa, kama za usiku silali nakuota wewe tu ( sasa sijui mtu unaweza ota bila kulala)
hahahahah lol halafu ni uongo mtupu ...
kwa kweli tunawezagwa...
Hujambo Afro?
Mi naona kuna conflict kati ya wanaume na wanawake, wanachukiana na wanawindana ile mbaya
Na hii chuki na kuwindana kati ya wanawake na wanaume ilianza tangu adam na eva na haitaisha hata kurejea kwa Yesu. Hata ndani ya ndoa, huwa kuna incessant search for an opportunity to do, discover or create evil against the other partner. We acha tu. Kama isingekuwa kiuno changu kinachokuwa full charge all the time, nisingemgusa mwanamke in life. LOVE AND HATE ARE ONE
Nipo wangu si unajua tena lazima kila kitu kiende sawa...karibu Xmass tusherekee!!mi sijambo kabisa mtu wangu..
vipi mambo zakupotea??
ndo x-mass shopping zana ku keep wewe busy hivyo??
Mi naona kuna conflict kati ya wanaume na wanawake, wanachukiana na wanawindana ile mbaya
Nipo wangu si unajua tena lazima kila kitu kiende sawa...karibu Xmass tusherekee!!
kijana umeongea la maana.mi naona kuna conflict kati ya wanaume na wanawake, wanachukiana na wanawindana ile mbaya
Mi zangu ni suprise tu!vizuri ...
mmhhh mi siji mpaka uniambie umeniwekea zawadi gani chini ya hiyo x-mass tree..
hahahhah lol
Nway i wish u a very wonderful x-mass.... and the best of the best for 2011...