Ukweli kuhusu WANAWAKE

Ukweli kuhusu WANAWAKE

Orait, kwa ombi lako hili, nawaacha wale majogoo waliyonunua kwa Xmas. baada ya hapo tunawahamisha, unajua wanaleta usumbufu sana.
Sana sana tumuache eliza na wafanyakazi wachache wa Tanzania distilaries ili tuendelee kupata the needful supplies

yes gud idea!!!!!
 
Kila mwanamke anapenda aonekane kuwa anavutia kingono, lakini hawapendi kuambiwa umekaa kinyegeenyegeeeeee
kuna demu moja ilikuwa ni rahisi sana kutoka nae. Ukimsifia leo mama umekaa kinyegenyege tu basi lazima ukale nae tunda! Anlinika kabisa 🙂
 
we kimey unaongea nini?upende ubeberu wa mtu?
liharufu iloo mpk pua inataka kuchomoka ....
....wewe aujakutana nao uko tosamanga sjui maua seminar miaka iyo?azania ivi ,umbwe sjui old mosh..
...au ata ukiingia kwenye mabwenya kina kaka utapata habari yake..kuna harufu nzitoooooooo ...
...kipind kileee mabibo hostel km una mpango wa kumuazima desa mkaka basi uende mapema na si jion wakat weng wanakuwa wamerud lekcha yan usiingie blok E na D na C...
UKIKUTANA NA MWENYE KIBEBERU NAKWAMBIA UTAJUTA....lakin kuna demu nilisoma nae adv ahh sjui ananuka kigunia yule?demu anatema 24 7 ata km akitoka kuoga dk iyo io kitu utakiskilizia tu bt ahh men wake alikuwa anampenda uyooo kila visitng dei uyooooooo kaja na michezo ya apa na pale ming tu sa sjui alikuwa na PUA MBOVU... ahhh...

]Rosey mbona umekomelea ivo bana?..Ila wacha ukweli USEMWE .Mara nyingi vijana wadogo ( wasichana kwa wavulana) personal hygiene ni issue. Ukichunguza sana ni class issue pia tupende tusipende.Unakuta mtu alivyokuzwa usafi binafsi wenye kutumia maji mengi haukutiliwa mkazo huenda ni kwa sababu ya ukosefu wa maji safi na salama katika distance inayowezekana.

Vyuoni ndimo wengi huanza kujifunzia usafi kwa kukuta huduma hii muhimu ipo na pia kuchanganyika na watu wengine na polepole kuanza kuiga desturi njema za usafi.Kadiri mtu anavyozidi kuendelea mbele kutoka chuo hadi kazini anabadilika zaidi na kujua kujinunulia deodorants na zana nyingine za usafi.Anapata exposure zaidi n KUJITAMBUA na kujua kuwa kumbe zile harufu za kibeberu ambazo walikuwa wanajidanganya kuwa ni za kiume siyo!
Ukweli usemwe tu.... mijiharufu ya mwili itikanayo na uchafu au excessive hormone secretions ni KERO!
 
m so lucky to gt yu
cz u smelll z so sweeeeeeeetie n cul ..infact is ma nutrional!!
habar yake bgrta banaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
watakatifu majangiri hawajaamka bado?

This is character assassination of the saints....You are seriously warned
 
]Rosey mbona umekomelea ivo bana?..Ila wacha ukweli USEMWE .Mara nyingi vijana wadogo ( wasichana kwa wavulana) personal hygiene ni issue. Ukichunguza sana ni class issue pia tupende tusipende.Unakuta mtu alivyokuzwa usafi binafsi wenye kutumia maji mengi haukutiliwa mkazo huenda ni kwa sababu ya ukosefu wa maji safi na salama katika distance inayowezekana.

Vyuoni ndimo wengi huanza kujifunzia usafi kwa kukuta huduma hii muhimu ipo na pia kuchanganyika na watu wengine na polepole kuanza kuiga desturi njema za usafi.Kadiri mtu anavyozidi kuendelea mbele kutoka chuo hadi kazini anabadilika zaidi na kujua kujinunulia deodorants na zana nyingine za usafi.Anapata exposure zaidi n KUJITAMBUA na kujua kuwa kumbe zile harufu za kibeberu ambazo walikuwa wanajidanganya kuwa ni za kiume siyo!
Ukweli usemwe tu.... mijiharufu ya mwili itikanayo na uchafu au excessive hormone secretions ni KERO!

haa haaa sjakomelea bwana!
ni mimi niliyetoa mfano wa mwambie mwanaume ukweli pia unanuka km beberu n unatisha km mzimu....katika kuwatbu ugonjwa wa wadau wanaopenda kupost za kuwadhalilisha wanawake....
kunuka kikwapa ni mtu bnafsi yees aijalish mkike au mkiume akishndwa kujitambua basi kibeberu sjui kigunia kitamfata tu!
habari yako mamaaaaaaaa!
STK UKIKUTANA NA NJEMBA INANUKA KIBEBERU AFU UNAPISHANA NAYO IMETOKA UWANJANI KUCHEZA MPIRA WEEEE utatapika makange yote nakwambia!!
 
Kila mwanamke anapenda aonekane kuwa anavutia kingono, lakini hawapendi kuambiwa umekaa kinyegeenyegeeeeee

Ni kweli,tunapenda kuonekana tunavutia,lakini it was meant for that someone special.Its a piss off ambaye hahusiki ku-note zaidi ya mlengwa. So iliyobakia ni kuwa special na kuvutia kingono kwa ajili ya yule maalum,na pia kwa ajili ya kuongeza personal confidence.Looking good is foremost about feeling good.
 
wanawake tulishawaelewa wanume,in short mi hata sifa sizihitaji kama nakuhitaji nitakukubali otherwise we imba,sifia,nunua chochote,nipeleke popote sina time na wewe.msisahau pia uwezo wa kudanganya si suala la jinsia ya kiume pekee,tuna uwezo wa kudanganya mara 50 ya wanaume,na uongo wetu ni mkubwa na mbaya na usioweza gundulika hadi siku ya ufufuo.....so it goes both way,usijione we kinara kumbe hujui na ukijua yaweza kuwa mwanzo wa safari yako kuelekea kuzimu.
 
ehh jaman UMEONGEA MANENO YA DHAHABU
yaan dada awa wanaume wa umu wanavyojifanyaga VINARA WA UWONGO ,full kujiona mastreka ...wamekremisha mademu wooooote viraza muda wooote na wao ndo vpnga na kuwadanganya mademu vile wanapenda....hawajui kwamba swala la uwongo,ujinga na ujanja ni hulka ya mtu bnafsi...si mkike wala muume..waweza kuwa mwanume na ukawa ***** wa mwsho na ukadanganywa km toinya....
yaani ukisoma post zao nying theme yao nikuwadhalilisha wanawake au kuwachukulia wanawake WOTE dunian ni vimdori.
shame on em.
sjui wakoje yaan ..wana dharau sana...wanawadharau ata waliowaweka tumbon bla kujua cz anazan akiwa anamchamba demu wake kicheche aliyemtolea nje jana kwa generalization basi hayo matusi mamake mzazi anakuwa nje ya uzio....
WANANIBOA YAAN AHH..ebu nkachambue dagaa mie...ntawatia ndimu nying na plpl kwa hasira!!!
 
Kila kitu kinakuwa revealed hapahapa duniani, na njia ya muongo ni fupi sana

Back
Top Bottom