Rose1980
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 5,684
- 1,305
Orait, kwa ombi lako hili, nawaacha wale majogoo waliyonunua kwa Xmas. baada ya hapo tunawahamisha, unajua wanaleta usumbufu sana.
Sana sana tumuache eliza na wafanyakazi wachache wa Tanzania distilaries ili tuendelee kupata the needful supplies
yes gud idea!!!!!