kijana umeongea la maana.
Mbingu na nchi haziwezi kukaa pamoja
Mi zangu ni suprise tu!
The same to you😛arty:
lakini hata hivyo mbingu na nchi haziwezi kukimbiana lazima ziangaliane usiku na mchana 24/7...
Si ndio kama hivyo wake kwa waume ni kuangaliana tu, sema tamaa zao za mwili ndio hufanye wasogeleane kwa muda usiozidi saa moja