Ukweli kuhusu Wema Sepetu kukutwa na Msokoto wa Bangi.

Alikwambia hivyo au kaandika kwenye appliction yake?

Nahisi redio mbao(mange)ndio source ya udaku wako.
NB: anarudi polisi February 22 kupata majibu ya mkemia mkuu
Tusitoke kwenye mada. Nilichoona kwa upande wangu. Kwanza alitajwa kwamba anavuta akaomba apimwe damu na mkojo wakikuta chembe chembe wamfunge. Wakambadilishia case kwamba punda. Nayenyewe wakakosa ushahid Wakambadilishia case yamatusi.
 
Alikwambia hivyo au kaandika kwenye appliction yake?

Nahisi redio mbao(mange)ndio source ya udaku wako.
NB: anarudi polisi February 22 kupata majibu ya mkemia mkuu
Acha utoto wewe. Majibu hutolewa hapo hapo. Ukibadlishiwa je? Gwajima kapimwa majibu yakatoka ndani ya saa. Sasa wema yeye nj mpaka siku kumi. Hivi nyie hata hamfikiriagi!!
 
Wema ni lazima atakuwa anatumia bangi
Ukiangalia historia yake,kuvunja kioo cha gari ya Marehemu kanumba kwa matofali,kumtukana Bob junior matusi mazito hadharani na kufikishwa mahakama ya Ilala ,kuwekwa keko yeye na mjasilia mali jumbe kwa miezi 6,yote haya ni ushadi kuwa wema ni criminal mzoefu
 
Aisee ni tag uzi wenye majibu ya gwajima ndani ya saa(hii saa lazima itakua ni rolex ya mange si mchezo)
Acha utoto wewe. Majibu hutolewa hapo hapo. Ukibadlishiwa je? Gwajima kapimwa majibu yakatoka ndani ya saa. Sasa wema yeye nj mpaka siku kumi. Hivi nyie hata hamfikiriagi!!
 
Ameandika wakili msomi Tundu Lissu.
___________________________________________________
Sio msokoto wa bangi. Hati ya mashtaka dhidi yake inasema Wema amekutwa na gramu 1.08 za bangi. Gramu, sio kilogramu (kumbuka kilogram 1 ni gramu 1000. Sasa Wema anadaiwa kukutwa na gramu 1). Polisi waliokamata 'madawa hayo ya kulevya' walifanya sachi saa tatu usiku. Sheria inayohusu sachi inasema sachi inatakiwa kufanyika kati ya saa moja asubuhi na saa 12 jioni ili, obviously, kupunguza uwezekano wa polisi kupandikiza ushahidi. Tunamsubiri Paul Makonda mahakamani aje atoe ushahidi wa namna alivyojua Wema anatumia madawa ya kulevya mpaka akamtaja hadharani. Asipokuja basi hakuna kesi.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…