Ukweli kuhusu WWE mieleka

Hata wacheza sinema wa Hollywood wanalipwa pesa ndefu, WWE(World Wrestling Entertainment) ni maigizo tu. Kuwa 'Entertainment' na si 'Sport' au si 'Competition' ina maana ni burudani tu na si mashindano halisi wala si sport.
 
Hivi hujawahi kuona au kusikia watu wanalipa hela kuangalia maigizo au mazingaombwe?

Kwenye Cinema Hall watu wanajua kabisa movie hazina uhalisia lakini wanalipia kabisa kuangalia, ni kawaida Mkuu.
 
Hivi hujawahi kuona au kusikia watu wanalipa hela kuangalia maigizo au mazingaombwe?

Kwenye Cinema Hall watu wanajua kabisa movie hazina uhalisia lakini wanalipia kabisa kuangalia, ni kawaida Mkuu.
Hata wacheza sinema wa Hollywood wanalipwa pesa ndefu, WWE(World Wrestling Entertainment) ni maigizo tu. Kuwa 'Entertainment' na si 'Sport' au si 'Competition' ina maana ni burudani tu na si mashindano halisi wala si sport.
[emoji116]
Finamu zimejisajiri Kama kazi za Sanaa za Maigizo.
Na waigizaji wake wanajulikana Kama
WASANII.

Mieleka ni Michezo halisi hata hapa Tanzania uliwahi kuchezwa na wachezaji Kama.
Power Mwanza
Power Bernardo
Power Shaka Zuru
Power Vuru Mroma
Power Ruvuma
Nk.
Na baadae mchezo wa Mieleka hapa TZ ukafungiwa kutokana na kukosa vigezo vya kimataifa vya kulinda usalama wa wachezaji.
Yaani
Palikosekana madaktari na matibabu ya uhakika ya wachezaji.
Palikosekana Jukwaa salama la kuchezwa Mieleka ambalo litawalinda wachezaji ( Jukwaa moja linakalibia TSH 1.bn)
Palikosekana mdhamini wa kuuendesha pambano katika viwango vinavyokubalika kimataifa.

(Kabla ya pambano la ngumi huwa mnaona mabondia wanakutanishwa ili kujitambulisha. tulio hilo linaweza kubeba mambo mengi na hata mabondia kuzichapa kavukavu kama hawazuiwa.
Katika mieleka tukio hili lipo pia, na ndipo hapo mnapoona kama Maigizo kwani katika utambulisho wachezaji wa Mieleka huwa wanakuja na wapambe wao na zinachapwa Kama kawaida na wapambe wanaingilia pambano Kama kawaida.
Au linapangwa pambano la kujitambulisha ambalo mchezaji mhusika mmoja anacheza na asiye husika, mhusika akikaribia kushinda ndipo mshindani sahihi anakuja kuingilia pambano na kumpinga mshindani mwenzake.)
Tazameni pambano la mieleka la mtu na kakake
Yaani Jeff Hard na Mark Hard lilivyoandaliwa mtaelewa.
Jeff hakutaka kucheza na kakake Hard.
Na Hard aliandaliwa pesa nyingi ili amchokoze kakake hadi wacheze kwa ahadi ya kulipwa pesa nyingi kwani wadau walitaka ndugu hao wacheze.
Mambo haya yanafanyika ili kuvutia watazamaji wengi kuingia mchezoni na kupata pesa.

MIELEKA SIO SANAA NA USANII NI MCHEZO HALISI NA WADAU WAKE TUPO
Asiyeelewa aende akaulize Baraza la Michezo Tanzania.
BMT.
 
Hivi 2019 bado Kuna watu wanaamini mieleka Ni Ngumi za kweli kweli?
Wataelewa zaidi iwapo wakiangalia hii video ( igizo haswa)


Ila ni mchezo ninaopenda kutazama, hasa enzi zile za khali
 
Kuna ile wanaingia katika kitu kama senyenge sijui ndio kiswahili chake kunafungwa na kufuli mkanda unawekwa juu,watu wamejaa ukumbini, zinapigwa mpaka mtu anatoka damu,kweli ni maigizo tu yale? Kuna vingine kweli maana mtu anapigwa eti haamki mpaka anafikiwa!
 
Kitu kinacho nishangaza kwenye huu mchezo una kuta mtu mmoja anamchezesha kichapo mwenzake mpaka jamaa ana karibia kuzima lakini jamaa ana kosea kidogo tu labda ana jikwaa au anapanda juu ya kamba akidondoka vibaya tu kichapo kina hama yule yule alietaka kuzima ana anza kumpa kichapo mwenzake kwa kasi ya 4g...sa kama sio maigizo ni nini hiyo. ndiyo maana nisha achaga kuangalia huo upumbavu.
 
Hata wacheza sinema wa Hollywood wanalipwa pesa ndefu, WWE(World Wrestling Entertainment) ni maigizo tu. Kuwa 'Entertainment' na si 'Sport' au si 'Competition' ina maana ni burudani tu na si mashindano halisi wala si sport.
Mielekea ni sports na ni competition mkuu ndo maana utaikuta kwenye company za kubet.
Kuingiza mchezo kwenye bookmarkers sio jambo dogo wala la mzaa.
Neno entertainment lisikutie kizungumkuti hata soccer ni entertainment, sports na competition.
Wwe ni industry ile wananogesha story kuleta mvuto sometimes,km kwenye soka kupamba vtu vya Messi na cr7 ili kuongeza ushindani na hamasa,au ile taifa stars vs harambee stars ule msemo tumeoa dada zao bado kaka zao,ni chachu mbadala,kila mchezo una vi drama vyake.
Wanapiga mpunga mrefu acha,na wana tour km soka kucheza away[emoji28][emoji28], mfano mwezi huu wiki 2 zjazo watakuja tna hku, ka mji fulani nilipo,ticket bei ya mlalahoi kbsaa km mm ni km elfu 60.
This sport is extremely dangerous asee,ukipata chance ya kushuhudia live mtu km undertaker utashangaa anayofanya na umri wake na anafanya zaid ya 30 years geez'
I respect these guys..!
 

Umeandika uboya mtupu,sorry.

Na usibishane na mimi,nimeanza kuangalia wrestling enzi za kina lex lugar,scott hall,Andre the giant,enzi za WCW,ECW,WWF,Monday night wars.

Achana na nyie vijana mliokuja kuona mieleka during this PG Era wkt miaka hio watu wako bize na attitude era.

So jua uliyoandika kwny bandiko lako pale juu mengi ni bullshit mkuu.
 
hata movie ya kanumba kuna sehemu damu zinamtoka
 
Michezo ya ushindani pamoja na ku entertain hata siku moja haiachi kuitwa competition kitu ambacho kwenye 'tamthilia' za WWE hakipo. I've seen the shit live back then nikiwa bado dogo, kitendo cha upupu wao kuwa rehearsed japo huwa zinatokea ajali na wanaumia kinawaondoa kabisa katika kuwa mchezo wa ushindani na kugeuka sinema(scripted) kama sinema nyingine tu.
 
Mimi naamini ukweli ndo mwingi Khalid the great alimminya mtu kichwa akafa utasema sinema?
Mkuu hio ilikuwa Ni ajali na Wala haikuwa match ilitokea mazoezini (huko wanacopractise maigizo kabla ya kuja kuonesha kwenye tv.

Hata Brandon Lee mtoto wa Bruce Lee alikufa akitengeneza movie bahati mbaya bunduki feki ilikuwa na kipande Cha risasi akapigwa akafariki. Je sababu brandon Lee amekufa movie ni ukweli?

Mkuu angalia hii video ya Wayne Rooney.


Hapo Rooney anampiga kibao huyo mwanamieleka anabingirita kabisa, Rooney hajafungiwa Wala kupigwa fine na man U, na huyo mwanamieleka akaja mpaka vyumba vya man U vya kubadilishia nguo kumtafuta Rooney bila kuzuiwa na security Wala kitu chochote.

Bado unaamini Ni ukweli huo?
 
Ntajie movie 2 tu ambazo matokeo yake utayaona kwenye betting Company?
 
Ntajie movie 2 tu ambazo matokeo yake utayaona kwenye betting Company?
Think outside the box, usiwe unachotwa kirahisi hivyo. Point ni kwamba hizo circus zao huwa scripted na zinakuwa rehearsed, betting can never turn that shit into a real sport.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…