feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
Wana jukwaa habari ya wakati huu.
Bila kupoteza muda naomba kufahamu kuhusu hawa wauzaji wa pikipiki hasa brand ya Honda wanaopatikana huko zanzibar ni wa kweli kwa kiasi gani. Maana nimefuatilia bei za pikipiki kutoka kwa uzaji mbali mbali ila naona wao bei zao ni chee kiasi kinanitia mashaka sana.
Mfano Honda click 150cc wengine wanauza kuanzia 4M ila wao 2-6M mpaka DSM tena wanadai 0 KM.
Honda ADV kwengine ina range 8-11M ila wao 3-4.5M tena 0KM .
Hii ikoje wazee kwa aliyewahi kununua kwao? Naambatanisha na screenshot zao.
NB:Sikupiga simu.