Ukweli kuhusu Zimbabwe

Ukweli kuhusu Zimbabwe

Keagan Paul

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
510
Reaction score
3,178
Kabla sijafika Zimbabwe niliaminishwa kuwa Zimbabwe ni nchi masikini sana, fedha yao haina thamani yoyote,unaenda kununua mkate kwa milioni 12....Mchicha milioni 6 , mayai tray moja milioni 30.

Lakini kumbe ni uongo kabisa.

Mara ya kwanza kufika Harare Zimbabwe nilishangaa, Wanaishi pia kabisa, hata fedha wanatumia Bond Dollar, wako vzr tu, wanachangamoto za Kawaida kama nchi zingine, lakin sio Maskin kiivo kama tulivyoaminishwa.

Bond Dollar rate yake ni sawa na USD Dollar, hata katika Matumizi unaweza kuwapa Dollar ya US halafu Chenji ukapewa Dollar yao.

Ni sawa na Zambia, Watu wengi hawajui kama Kwacha ya Zambia ina nguvu kuliko Pesa yetu, tena ina nguvu sana sawa na ilivyo Rand ya South Africa.

Ukiwa na Buku ya Zambia, Tanzania utapewa zaidi ya Laki na Ishirini. Lakini watu hawalijui hata hili.

Mfano, Ukiwa na Million Moja ya Tanzania, Zambia utapewa Elfu Nane tu. Ingieni kwenye Exchange Rate, andika Kwacha Zambia. Utaona
 
Umefika Zimbabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni. kabla ya ya kutumia bond dollar, Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha na kuanza kutumia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .

Nakumbuka kipindi hicho uchumi wa Zimbabwe ulidorola Hadi kukawa hakuna usafiri sababu ya kukosa mafuta , nilikuwa nabeba Sana abiria Kama msaada Ila walikuwa na desturi ya kuchangia nauli, watu wanne wanasafiri umbali wa km 150tu nauli wakianza kukuhesabia unakuta noi milion hata nane, halafu ubaya ukifika chirundu boarder hakuna ambaye atakubali kubadilisha maana rate yao ilikuwa inayumba balaa.

Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,
 
Umefika Zibabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni kabla ya ya kutumia bond dollar. Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha kabisa kabla ya kuanza kutulia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .

Sent
AFADHALI UMEMWELIMISHA
 
Kuna Watu wanajua mpaka leo hii, Bado Wananchi wa Zimbabwe wanaenda kununua Mkate na Kapu limejaa pesa, so lengo langu ni kuwaambia wasiojua kwamba kule Mambo yamebadilika.
 
Kwa nn na sisi Tanzania tusipunguze sifuri kwenye pesa yetu ili twende nao sawa
 
Duh Kama hivo sawa , Ila Zimbabwe Hali ilianza kubadilika walipoanza kutumia tu Rand , Hadi mafuta wakaanza ku import,

Sent
 
Umefika Zimbabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni. kabla ya ya kutumia bond dollar, Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha na kuanza kutumia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .
Nakumbuka kipindi hicho uchumi wa Zimbabwe ulidorola Hadi kukawa hakuna usafiri sababu ya kukosa mafuta , nilikuwa nabeba Sana abiria Kama msaada Ila walikuwa na desturi ya kuchangia nauli, watu wanne wanasafiri umbali wa km 150tu nauli wakianza kukuhesabia unakuta noi milion hata nane, halafu ubaya ukifika chirundu boarder hakuna ambaye atakubali kubadilisha maana rate yao ilikuwa inayumba balaa
Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,

Sent
Walimfanya kitu superior hao wazambia like it
 
Umefika Zimbabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni. kabla ya ya kutumia bond dollar, Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha na kuanza kutumia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar.

Nakumbuka kipindi hicho uchumi wa Zimbabwe ulidorola Hadi kukawa hakuna usafiri sababu ya kukosa mafuta , nilikuwa nabeba Sana abiria Kama msaada Ila walikuwa na desturi ya kuchangia nauli, watu wanne wanasafiri umbali wa km 150tu nauli wakianza kukuhesabia unakuta noi milion hata nane, halafu ubaya ukifika chirundu boarder hakuna ambaye atakubali kubadilisha maana rate yao ilikuwa inayumba balaa

Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,

Sent
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Walipunguza Sifuri. Kumbe ni maamuzi tu
 
Kabla sijafika Zimbabwe niliaminishwa kuwa Zimbabwe ni nchi masikini sana, fedha yao haina thamani yoyote,unaenda kununua mkate kwa milioni 12....Mchicha milioni 6 , mayai tray moja milioni 30.

Lakini kumbe ni uongo kabisa.

Mara ya kwanza kufika Harare Zimbabwe nilishangaa, Wanaishi pia kabisa, hata fedha wanatumia Bond Dollar, wako vzr tu, wanachangamoto za Kawaida kama nchi zingine, lakin sio Maskin kiivo kama tulivyoaminishwa.

Bond Dollar rate yake ni sawa na USD Dollar, hata katika Matumizi unaweza kuwapa Dollar ya US halafu Chenji ukapewa Dollar yao.

Ni sawa na Zambia, Watu wengi hawajui kama Kwacha ya Zambia ina nguvu kuliko Pesa yetu, tena ina nguvu sana sawa na ilivyo Rand ya South Africa.

Ukiwa na Buku ya Zambia, Tanzania utapewa zaidi ya Laki na Ishirini. Lakini watu hawalijui hata hili.

Mfano, Ukiwa na Million Moja ya Tanzania, Zambia utapewa Elfu Nane tu. Ingieni kwenye Exchange Rate, andika Kwacha Zambia. Utaona
Mkuu umefika Zimbabwe mwaka gani? Hao walikuwa na pesa yao inaitwa zimbabwe dollar,,,kuanzia miaka ya 2008 kurudi chini,,na ilikuwa na nguvu kipindi hicho,,lakini baada ya uchumi wao kuporomoka hapo ndy hayo mambo ya kubeba pesa kwenye box ukienda sokoni kununuwa bidhaa yalipoanza.
Kuanzia mwaka 2009 serikali ya zimbabwe ikaamua itumie pesa za nje kama us dollars na south African rands...na ilipofika juni 2019 ndy wakaanza kutumia tena pesa yao wenyewe Zimbabwe dollar,,lakini wakaipa jina la bond dollars..kwa kifupi hayo mambo yalikuwapo kuanzia pale uchumi uliposhuka...
 
Umefika Zimbabwe na Zambia kipindi Cha hivi karibuni. kabla ya ya kutumia bond dollar, Zimbabwe walikua na Zim dollar , ilikuwa pesa yenye nguvu Sana kabla Mugabe hajafikuza wazingu ,ilipoanza kuporomoka ndio hizo bei za vitu tulizokuwa tunazisikia , milion kadhaa kwa items ya kawaida kabisa , baadae waliamua kuiacha na kuanza kutumia Rand then ndo wakahamia kwenye us dollar .

Nakumbuka kipindi hicho uchumi wa Zimbabwe ulidorola Hadi kukawa hakuna usafiri sababu ya kukosa mafuta , nilikuwa nabeba Sana abiria Kama msaada Ila walikuwa na desturi ya kuchangia nauli, watu wanne wanasafiri umbali wa km 150tu nauli wakianza kukuhesabia unakuta noi milion hata nane, halafu ubaya ukifika chirundu boarder hakuna ambaye atakubali kubadilisha maana rate yao ilikuwa inayumba balaa.

Zambia pesa unayoiona leo ina thamani , Ni kwamba ilipunguzwa sifuri tatu za mwisho kwenye kila noti,ili kuipa virtual strength, hiyo 1000, unayoiona ilikuwa laki moja mwaka 2010,

Sent
Hata Zambia watakuwa wamepunguza sifuri kwenye Pesa yao ili kulunguza bugudha ya kufanya mahesabu hata hapa tz ni vyema tukafuta sifuri 2 kwenye hela yetu
 
Kwa nn na sisi Tanzania tusipunguze sifuri kwenye pesa yetu ili twende nao sawa
Tatizo ni wizara ya fedha na wakuu wa benk kuu tz ni mambumbumbu na vilaza ili nalo wanangoja magufuli awape amri ,Pesa yetu inatakiwa kufutwa sifuri mbili yaani sh100 = new sh1
 
Hata Zambia watakuwa wamepunguza sifuri kwenye Pesa yao ili kulunguza bugudha ya kufanya mahesabu hata hapa tz ni vyema tukafuta sifuri 2 kwenye hela yetu
Hata kwa Zambian kwacha,,ni vile vile,,wamepunguza sifuri tu..
 
Ndiyo hivyo hapa tz ukienda dukani unakuta foleni kumbe kababu ni mahesabu ya misifuri mingi inapoteza muda hata kama unatumia calculate hadi inaharibika button kwa kubofya minamba chungu mzima mfano ingekuwa hivi
Kilo ya sukari sh 20
Kilo ya unga sh 10
Chumvi sh 1
Soda 4 sh 20
Cheki inavyokuwa simple hata kumtuma mtoto wa darasa la kwanza dukani yofauti na sasa ingekuwa hivi
Kilo ya sukari sh2500
Kilo ya unga sh 1250
Chumvi sh 100
Soda 4 sh 2000
 
Back
Top Bottom