Keagan Paul
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 510
- 3,178
Kabla sijafika Zimbabwe niliaminishwa kuwa Zimbabwe ni nchi masikini sana, fedha yao haina thamani yoyote,unaenda kununua mkate kwa milioni 12....Mchicha milioni 6 , mayai tray moja milioni 30.
Lakini kumbe ni uongo kabisa.
Mara ya kwanza kufika Harare Zimbabwe nilishangaa, Wanaishi pia kabisa, hata fedha wanatumia Bond Dollar, wako vzr tu, wanachangamoto za Kawaida kama nchi zingine, lakin sio Maskin kiivo kama tulivyoaminishwa.
Bond Dollar rate yake ni sawa na USD Dollar, hata katika Matumizi unaweza kuwapa Dollar ya US halafu Chenji ukapewa Dollar yao.
Ni sawa na Zambia, Watu wengi hawajui kama Kwacha ya Zambia ina nguvu kuliko Pesa yetu, tena ina nguvu sana sawa na ilivyo Rand ya South Africa.
Ukiwa na Buku ya Zambia, Tanzania utapewa zaidi ya Laki na Ishirini. Lakini watu hawalijui hata hili.
Mfano, Ukiwa na Million Moja ya Tanzania, Zambia utapewa Elfu Nane tu. Ingieni kwenye Exchange Rate, andika Kwacha Zambia. Utaona