Ukweli kuhusu Zimbabwe

Ukweli kuhusu Zimbabwe

Kabla sijafika Zimbabwe niliaminishwa kuwa Zimbabwe ni nchi masikini sana, fedha yao haina thamani yoyote,unaenda kununua mkate kwa milioni 12....Mchicha milioni 6 , mayai tray moja milioni 30.

Lakini kumbe ni uongo kabisa.

Mara ya kwanza kufika Harare Zimbabwe nilishangaa, Wanaishi pia kabisa, hata fedha wanatumia Bond Dollar, wako vzr tu, wanachangamoto za Kawaida kama nchi zingine, lakin sio Maskin kiivo kama tulivyoaminishwa.

Bond Dollar rate yake ni sawa na USD Dollar, hata katika Matumizi unaweza kuwapa Dollar ya US halafu Chenji ukapewa Dollar yao.

Ni sawa na Zambia, Watu wengi hawajui kama Kwacha ya Zambia ina nguvu kuliko Pesa yetu, tena ina nguvu sana sawa na ilivyo Rand ya South Africa.

Ukiwa na Buku ya Zambia, Tanzania utapewa zaidi ya Laki na Ishirini. Lakini watu hawalijui hata hili.

Mfano, Ukiwa na Million Moja ya Tanzania, Zambia utapewa Elfu Nane tu. Ingieni kwenye Exchange Rate, andika Kwacha Zambia. Utaona
Cheaf umesema ela ya Zambia inashinda ela yetu sio kweli
 
Ndiyo hivyo hapa tz ukienda dukani unakuta foleni kumbe kababu ni mahesabu ya misifuri mingi inapoteza muda hata kama unatumia calculate hadi inaharibika button kwa kubofya minamba chungu mzima mfano ingekuwa hivi
Kilo ya sukari sh 20
Kilo ya unga sh 10
Chumvi sh 1
Soda 4 sh 20
Cheki inavyokuwa simple hata kumtuma mtoto wa darasa la kwanza dukani yofauti na sasa ingekuwa hivi
Kilo ya sukari sh2500
Kilo ya unga sh 1250
Chumvi sh 100
Soda 4 sh 2000
Haina madhara kupunguza sifuri?
 
Hahah Mkuu umeongea kirahisi hivyo...pesa ndo uchumi huwezi lala na ukaamka ukafanya maamuzi uyatakayo
 
Mkuu nenda Google andika Exchange rate, Andika Kwacha Zambia utaona
 
Kabla sijafika Zimbabwe niliaminishwa kuwa Zimbabwe ni nchi masikini sana, fedha yao haina thamani yoyote,unaenda kununua mkate kwa milioni 12....Mchicha milioni 6 , mayai tray moja milioni 30.

Lakini kumbe ni uongo kabisa.

Mara ya kwanza kufika Harare Zimbabwe nilishangaa, Wanaishi pia kabisa, hata fedha wanatumia Bond Dollar, wako vzr tu, wanachangamoto za Kawaida kama nchi zingine, lakin sio Maskin kiivo kama tulivyoaminishwa.

Bond Dollar rate yake ni sawa na USD Dollar, hata katika Matumizi unaweza kuwapa Dollar ya US halafu Chenji ukapewa Dollar yao.

Ni sawa na Zambia, Watu wengi hawajui kama Kwacha ya Zambia ina nguvu kuliko Pesa yetu, tena ina nguvu sana sawa na ilivyo Rand ya South Africa.

Ukiwa na Buku ya Zambia, Tanzania utapewa zaidi ya Laki na Ishirini. Lakini watu hawalijui hata hili.

Mfano, Ukiwa na Million Moja ya Tanzania, Zambia utapewa Elfu Nane tu. Ingieni kwenye Exchange Rate, andika Kwacha Zambia. Utaona
Sawa
 
Back
Top Bottom