Hiyo ni chizi mwenzakeHii ndo akili ya Wa Tanzania sasa wanaoitwa wasomi!
GoodBasi kila binadamu ana mapungufu, naye Mkapa mapungufu yake ni kudhani kuwa Magufuli angeweza kuwa Kiongozi bora.
Magufuli alipaswa kuwa NYAPARA tu yaani mtu wa kusimamia siyo KUFIKIRI kwa kuwa alikuwa KICHAA
Yes kila binadamu na mapungufu yake nawe mapungufu yako ni kuona Magufuli hakupaswa kuwa kiongozi wa taifa la [emoji1241]Basi kila binadamu ana mapungufu, naye Mkapa mapungufu yake ni kudhani kuwa Magufuli angeweza kuwa Kiongozi bora.
Magufuli alipaswa kuwa NYAPARA tu yaani mtu wa kusimamia siyo KUFIKIRI kwa kuwa alikuwa KICHAA
Wewe una tatizo kubwa la uwezo wa kuchanganua na kujuwa uwongo wa Mwendazake.Yes kila binadamu na mapungufu yake nawe mapungufu yako ni kuona Magufuli hakupaswa kuwa kiongozi wa taifa la [emoji1241]
WE NI "Kichaa" Umebeba MBOJI upstair!!!🤣🤣Hayati Benjamini Mkapa aliona mbali mwaka 2015 baada ya CCM iliyokuwa chini ya Jakaya kuwa imepoteza imani kwa wananchi. Mkapa aliona mbali na kuhakikisha taifa letu linapata kiongozi ambae atalinyoosha taifa lililopinda.
Ukweli ni kuwa hayati Mkapa ndie alieona umahiri wa hayati JPM kusimamia na kudhibiti wazembe na walarushwa. Ndio maana alimpa unaibu waziri ujenzi mwaka 1995 na kisha kuwa waziri kamili.
Tuseme ukweli bila chenga hayati Mkapa ndie aliyemuibua hayati Magufuli. Na kazi kubwa aliyoifanya hayati Magufuli kwa taifa letu kila mtu anaiona. Hili tuliweke wazi na kila mtu alitambue.
Idugunde wa Igunga Tabora.