UKWELI: Mafanikio ya Simba SC Miaka 4 Yamechangiwa Pakubwa na Azam Football Club

UKWELI: Mafanikio ya Simba SC Miaka 4 Yamechangiwa Pakubwa na Azam Football Club

Wengi mnazungumza mafanikio ya kutwaa taji mara nne mfululizo ya simba sc pasi na kutoa shukrani stahiki kwa Azam FC.

Ikumbukwe kuwa Azam FC waliwahisani wachezaji wa bure Simba SC. Wachezaji hao ni

1. Manula
2. Wawa
3. Nyoni

Hawa wachezaji wana mchango mkubwa sana kwene ubingwa wa simba sc wa miaka minne.

Simba inapashwa kuwashukuru sana Azam FC kwa kuwapa wachezaji hawa bure ili muweze kubeba ubingwa.

Walizungumzwa sana wakina miqquieson, chama na kagere.

Ila kuna watu nyuma ya pazia ambao walifanikisha ulinzi pakubwa.
.
FB_IMG_1611660294488.jpg
 
Back
Top Bottom