Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

Ni Katiba pekee ya 1977, vyombo vya dola, rushwa na ujinga wa wananchi walio wengi, ndivyo vitakavyo mbeba
 
Hali ya uchumi pia huku mtaani ni so sana
 
Kwamba Mtanzania aliepo songea na sumbawanga anasema hamuelewi Rais Kwa sababu ya wamasai Ngorongoro??..
Uzushi mwingine hauna hata haya..
Waliopo Dar Tu hawajali lolote kuhusu wamasai wa Ngorongoro...
Hawa watoa Ushauri wamekuwa based Dar hata hapo kilosa hawajafika hii mitandao ya kijamii sometimes haina reflection ya uhalisia
 
Soma tu nyuzi za humu JF.

Ushhid wa huku kitaa una mambo mengi mno. Hadi Sasa raia hawaelewi Nini kinendelea .. na hawaamini Rais mwanamke.
Nyuzi za nyie vichaa wachache mnazozituma humu kwa misongo yenu ya mawazo?
 
Eti haeleweki 😁

IMG_20230607_215537.jpg
 
Kwamba Mtanzania aliepo songea na sumbawanga anasema hamuelewi Rais Kwa sababu ya wamasai Ngorongoro??..
Uzushi mwingine hauna hata haya..
Waliopo Dar Tu hawajali lolote kuhusu wamasai wa Ngorongoro...
Nipo Songea bombambili simuelewi, alianza vizuri Ila wameshamuingiza kwenye mtego, watu niliokutana nao Leo cjaona hata mmoja anayeunga mkono nchi inavyokwenda,
 
Ni kweli kabisa.

Haaminiki, Hapendwi yaani analazimisha tu na wala uwezo hana.

Ila tutakua nae kwa mda maana anaforce mno.
 
Back
Top Bottom