Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

Ukweli Mama haeleweki huku mtaani

Lete ushahidi!
FB_IMG_1686166277351.jpg
 
Kwamba Mtanzania aliepo songea na sumbawanga anasema hamuelewi Rais Kwa sababu ya wamasai Ngorongoro??..
Uzushi mwingine hauna hata haya..
Waliopo Dar Tu hawajali lolote kuhusu wamasai wa Ngorongoro...
Dunia ni kijiji , halafu kama ngorongoro imeuzwa usalama wa Songea unatoka wapi ?

Anayekula nyama ya mtu haachi - JK NYERERE
 
Mlivyomsifia kipindi kawa rais ungedhani alikuwa ni mwema muweza wa yote [emoji1787]
Alianza vizuri mfumo ukampindua! Kilichobaki ahakikishe anamaliza muda wake salama bila kusababisha umwagaji wa damu. Asikubali kupotoshwa zaidi.
 
Nani mwenye akili timamu amuelewe huyo msaliti?
 
Huku kitaa watu hawaelewi kabisa.

Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari.

Ushauri.

Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
Hivi wabunge walikula mlungula wa shng ngapi kmmke..!!
 
Huku kitaa watu hawaelewi kabisa.

Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari.

Ushauri.

Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
Vijana laki na ishirini ndiyo watajiunga na kidato Cha tano,ni kidogo Sana, watanzania wengi mbumbumbu...ukihangaika kuwaelewesha na kuwaridhisha utachelewa,unawaswaga tu Kama ng'ombe
 
Nipo Songea bombambili simuelewi, alianza vizuri Ila wameshamuingiza kwenye mtego, watu niliokutana nao Leo cjaona hata mmoja anayeunga mkono nchi inavyokwenda,
Kila mtu anamashaka.

Lambda kama analamba asali.
 
Back
Top Bottom