A Avs Senior Member Joined Nov 27, 2022 Posts 198 Reaction score 451 Jun 11, 2023 #41 Bibi hafai kuwa hata mtendaji wa kijiji. Watanganyika tuamke.Hakuna mzanzibari aliyewahi kutawala hapa tanganyika akafanya vizuri wao ni ruksa kila kitu.
Bibi hafai kuwa hata mtendaji wa kijiji. Watanganyika tuamke.Hakuna mzanzibari aliyewahi kutawala hapa tanganyika akafanya vizuri wao ni ruksa kila kitu.
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,858 Reaction score 23,768 Jun 11, 2023 #42 JF Member said: Sina uhakika na hili. Click to expand... Ngoja tusubiri..