NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Una uhakika gani kwamba hajawai kupasha kiporo na ex wake, hawara anatongozwa ??
Kuna kipindi mnagombana, unajua ni namna gani anavyo deal na hio hali kutuliza hasira ama kukukomoa ??
ana deni la kikoba kuna mtu kwenye contacts zake alishamuahidi laki akimpa mzigo, anarukaje kwamfano ?
kaenda kwa mganga akuchape limbwata ama akuzuie usiwe na michepuko, mganga anambananisha kwenye masharti dawa inaingizwa kwa uume kingi tayari, akikataa anatishiwa atatupiwa jini anaamua kutoa tu