Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #21
Rekodi zina nafasi yakeEndeleeni kukariri hivo hivo ooh Barcelona hajawah kumfunga Chelsea, kama hajawah Leo ndo anawah Leo, naona Leo sredi zimekuwa nyingi si tusubiri dakk 90 baada ya saa 22:45 ndo tujue
siku nyingine andika kiswahili tu mwanzo mwengaHahahaha we waache waendelee kujipa moyo 7 o'clock na kadi juu vinawahusu maana you know nothing
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Labda Uefa ya huko kwenu Geita
washalizwa huko mkuuWamekimbia wapenzi wa Barcelona,Leo mnacheza na kiboko yenu muwe makini!
wewe unaugua bila shakaSubirini cha pili ili mpunguze ngebe!
Ngoja tuone hesabu zako kama zitatimiaMechi za uefa kati ya Chelsea na barca,anaeanza nyumbani lazima atoke
Mkeka upo salama kweli?Leo barca 0:1chelsea
Utakua umeraluliwa vibaya mno.Mkeka upo salama kweli?
Red card, povu and now what...SHAME. Yule ndio Leo, The Messiah.Barcelona ni klabu bora kwa miaka kadhaa lakini leo watakapokuwa darajani dhidi ya Chelsea na hata mechi ya Marudiano baada ya majuma mawili pale Nou Camp sitegemei maajabu yoyote ya Barcelona kuibuka na ushindi kama Chelsea watakuwa wametimia. Kwa mbinu za Conte zinatosha kabisa kuwapa nafasi Chelsea kufanya vyema dhidi ya Barca.
Pamoja na Chelsea kuwa na fomu mbaya kwa siku za karibuni, Barcelona bado hana uwezo wa kupata ushindi, njia pekee ni Chelsea apate red card na ndipo Barca ataibuka na ushindi.
Povu ruksa...
mpira dakika 90