Ukweli Mchungu: Bila red card, Barcelona hatomfunga Chelsea!

Ukweli Mchungu: Bila red card, Barcelona hatomfunga Chelsea!

Mashabiki wa uingereza bana tumechoka na kelele zenu..mlipiga tanta nyingi sana matokeo yake king akawakung'uta moja tena kwenu mkakaa kimya,,, haya sasa mmekuja tena nou camp na mnajuwa kabisa mnaenda kufa nyingi. Jana ndugu zenu wamepigwa 2 na mwarabu...leo zamu yenu kupigwa na mfalme..


So mleta uzi ni my friend lakini urafiki wetu unaenda kombo...yani umeidharau kiasi gani the big tim in the world ikiongozwa na mfalme wa soka kuwahi kutokea!! Omba radhi mkuu.
 
Mh6MGTL.gif
 
Barcelona ni klabu bora kwa miaka kadhaa lakini leo watakapokuwa darajani dhidi ya Chelsea na hata mechi ya Marudiano baada ya majuma mawili pale Nou Camp sitegemei maajabu yoyote ya Barcelona kuibuka na ushindi kama Chelsea watakuwa wametimia. Kwa mbinu za Conte zinatosha kabisa kuwapa nafasi Chelsea kufanya vyema dhidi ya Barca.

Pamoja na Chelsea kuwa na fomu mbaya kwa siku za karibuni, Barcelona bado hana uwezo wa kupata ushindi, njia pekee ni Chelsea apate red card na ndipo Barca ataibuka na ushindi.

Povu ruksa...
Red card, povu and now what...SHAME. Yule ndio Leo, The Messiah.
 
Back
Top Bottom